Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Naishi kwenye nchi ya kuku, najihisi na mimi ni kuku
Ninaogopa kuchinjwa ila nina fugwa na kutunzwa na mchinjaji
Najiuliza kuogopa kuchinjwa kunaweza nisaidia nisichinjwe?
Hapana nahisi ni vile zamu yangu tu haijafika ila kila kuku atachinjwa kwa namna yake na kwa muda wake
Sasa nini nifanye niendelee kukaa kwenye hii nchi au niondoke?
Naondoka naenda wapi? Hiyo ndo hofu inayo nifanya nibaki hapa ila nina tamani kuondoka
Ila sina huo ujanja, lakini najua hata nikibaki nitachinjwa tu maana mfugaji hana jipya zaidi ya nyama yangu
Sio mimi tu kila kuku namuona ana hofu lakini anajitahifi kujipendekeza kwa mfugaji ili mfugaji asimchague yeye siku ya kuchinja
Na mimi najiuliza au nijipendekeze tu kwa mfugaji labda atanionea huruma siku ya kuchinja lakini nawaza nikibaki mimi tu hawezi kunichinja kweli?
Jamani naogopa hata kutaga mayai kwenye hii nchi maana naogopa watoto wangu nao wataishi kwa woga kama mimi? Bira wasije kuliko waje kuishi hivi
Sasa sijui nahitaji kusaidiwa au nahitaji kujisaidia mwenyewe nipo nawaza hapa
😢😢😢