Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

Mume unayemtaka kipato chake kiwaje? Au hawe na hali ipi ya maisha.?
Asante kwa swali zuri. Nadhani masharti yangu makubwa nimeyaorodhesha mwanzo wa bandiko! Swala la kipato cha MTU eidha ni kikubwa ama kidogo halinishuhulishi sana kwani maisha yanashuka Na kupanda wakati wowote. Nahitaji mume ambaye hata kama kipato chake ni cha kawaida basi awe Na wivu au kiu ya maendeleo. Tutasaidiana kuyafikia maendeleo kupitia hicho hicho kidogo atachokuwa nacho. Mhim sana ni Kusikilizana na kuufanyia kazi ushauri wowote unaohusu maendeleo ya familia yetu. Kingine ambacho watu wengi hawajui ni kwamba kuna mtu mwingine Hana utajiri wa kipato au Mali lakini akawa Na utajiri wa fikra. Kwangu mtu mwenye utajiri wa fikra ni Bora kuliko mwenye utajiri WA Mali kwani ukiyatumia vyema mawazo yake mtayafikia mafanikio. Mhimu sana ni ushirikiano wa karibu katika kila jambo. Kukubali tukatae kuna utofauti mkubwa sana WA mafanikio kati ya familia yenye ushirikiano wa karibu kuliko familia ambayo inaishi ki dictator, yaani mke haruhusiwi kujua kipato cha mumewe Na mwingine anafika mbali kabisa mpaka kununua uwanja Na kujenga huku mke hajui ila Rafiki au ndugu WA karibu wanajuwa! So sad kwakweli EE mwenyenzi MUNGU niepushie mume WA aina hii.
 
Asanteh kwa maelezo mazuri ya kina,hakika mungu atakupa hitaji lako.
 
Ndungu zangu wanajamvi Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa. Mimi ni mgeni humu naomba mnipokee wanajamvi. Kama title inavyojieleza hapo juu: Mimi naitwa UWARIDI ni MKRISTO. Nimezaliwa 1981, ni mjane nina watoto 3. Mume wangu alifariki miaka 6 iliyopita. Nimepitia changamoto nyingi sana za kulea familia peke yangu kwa kipindi chote cha upweke, kwani kutokana Na maisha ambayo tulikuwa tumejiwekea sikuona kama kwa wakati huo ningeweza kupata a right person ambaye angeweza kulibeba jukum la Baba kikamilifu kwa watoto wasio wake! pili sikupenda kabisa kuwa disappoint watoto kuwaletea Baba mwingine mapema haswa ukizingatia mapenzi makubwa sana aliyokuwa nayo Mume wangu kwa Familia yake . Bila Shaka humu kuna wanandoa Na hapa nazungumzia ndoa Bora zilizotawaliwa Na upendo WA dhati heshima uvumilivu jinsi ambavyo ni vigumu kuzoea maisha ya upweke. Angalao naweza kusema nilikubali kuusononesha moyo wangu kwa kipindi chote hicho ili watoto wangu wasogee kidogo. Na sasa umefikia wakati ambao kwangu naona ni sahihi kumuhitaji ubavu wangu. MAISHA:maisha yangu ni ya kati yakuweza kujimudu, lakini haimaanishi kama sitohitaji msaada WA mwenza wangu hapana! Nahitaji Mume ambaye atayatambua majukum yake lakini pia aniruhusu kuendelea na shughuli zangu za ujasiriamali kwani mbali Na majukum ya kawaida niliyonayo ADA tu za wanangu kwa mihula yote kwa mwaka ni 9.6milion. Lakini ukiachana Na hilo Mimi binafsi siwezi kukaa bila shuhuli yoyote ya kuniingizia kipato kwani nimeona umuhimu wa hilo. AINA YA MUME NINAEMTAKA; kwakweli sita base sana kwenye kabila ila napenda ni base sana kwenye tabia! Asiwe mlevi, awe Na hofu ya MUNGU, awe anaitambua thamani ya mke Bora, Awe anayatambua Na kuyahisi machungu ya kusalitiwa. Ndoa Bora inajengwa Na upendo wa dhati uaminifu! hizi silaha mbili zitazalisha kuheshimiana kuvumiliana katika shida Na raha, kuthaminiana. KABILA; Mimi ni mchaga. IMANI; Mimi ni mkristo hivyo ningependa mkristo, lakini kama atakuwa muislam basi nitaomba ndoa ya bomani kila mmoja abaki Na dini yake. MB; kwa mujibu wa maadili yangu siruhusiwi kuolewa nikaishi Na mume mwingine kwenye mji nilioachiwa Na marehem Mume wangu. Naomba kuwasilisha asante sana.
Naogopa kukudisapoint but ukweli nikwamba ubavu wako ulishaupata na Mungu akamchukua kadri ya mpango wake, kitu kimoja nikueleze maisha nizaidi ya upendo wa mtu mwingine.

Kama kweli ulimpenda mumeo pleased vumilia kuishi na wanao kwa furaha, la sivyo utakuja kitengeneza matatizo makubwa yatakayokuletea uzuni zaidi ya uzuni huu ulionao sasa.

Watch out!!
 
Nichukue nafasi hii kukupa pole kwa kumpoteza MPENDWA mzazi mwenzio lakini hongera kwa kuyakabili na kuyamudu majukumu ya malezi na huku ukiwa ni single - mother!

Bila shaka utapata mwingine wa kuziba pengo lake japo sio kwa asilimia 100 lakini angalao kupunguza upweke na kupata faraja kuwa na mtu wa kusaidiana na kushauriana mambo mbali mbali ya kimaisha.

Kila la kheri dada yangu, nakuombea usije kupata wahuni wahuni tu wakaishia kuongeza stress zaidi. Hili Mungu akuepushie,,,hii imenigusa sana maana nililelewa katika mazingira km hayo yaliyokukuta ingawa mimi Maza angu MPENDWA aliamua kutokuishi na Mwanaume mwingine yeyote na daima huwa nampongeza sana kwa uamuzi ule wa Kishujaa.

Nakutakia Kila la kheri bi'dada!
 
POLE SANA .ILA KUWA MAKINI USIJE UKACHUNWA HATA HICHO KIDOGO KILICHOPO CHA WATOTO.ILA KILA LA KHERI
 
Naomba nikushukuru sana kwanza kwakunijali umeongea sentes chache sana lakini zilizoubeba uhalisia! Ni kweli nawaza sana kama itawezekanaje kuipata kopy ya marehem mume wangu! Naendelea kumlilia sana MUNGU Juu ya hili kwakuwa yeye hufanya yaliyotofauti Na fahamu zetu. Barikiwa sana Rafiki yangu.
 
Nichukue nafasi hii kukupa pole kwa kumpoteza MPENDWA mzazi mwenzio lakini hongera kwa kuyakabili na kuyamudu majukumu ya malezi na huku ukiwa ni single - mother!

Bila shaka utapata mwingine wa kuziba pengo lake japo sio kwa asilimia 100 lakini angalao kupunguza upweke na kupata faraja kuwa na mtu wa kusaidiana na kushauriana mambo mbali mbali ya kimaisha.

Kila la kheri dada yangu, nakuombea usije kupata wahuni wahuni tu wakaishia kuongeza stress zaidi. Hili Mungu akuepushie,,,hii imenigusa sana maana nililelewa katika mazingira km hayo yaliyokukuta ingawa mimi Maza angu MPENDWA aliamua kutokuishi na Mwanaume mwingine yeyote na daima huwa nampongeza sana kwa uamuzi ule wa Kishujaa.

Nakutakia Kila la kheri bi'dada!
Nashukuru Sana kwa kunitia moyo mdogo wangu. Katika pitapita zangu kwenye bibilia niliwahi kukutana Na andiko linalomuongelea mjane ni mtu WA aina gani, andiko hilo lilimtaja mjane ni Yule aliyetimiza miaka sitini (60) tena ambaye amekulia nyumbani mwa Bwana kwa maana ya mcha Mungu. Andiko hili kwakweli lilitia moyo sana Na kuniaminisha kwamba kumbe bado uwezekano wa kuupata ubavu mwingine upo. Naendelea kumuomba Mungu anidhihirishie katika hili maana
Kwakweli binafsi nauchukia uzinzi jamani.
 
POLE SANA .ILA KUWA MAKINI USIJE UKACHUNWA HATA HICHO KIDOGO KILICHOPO CHA WATOTO.ILA KILA LA KHERI
Nashukuru Sana kunitahadharisha Rafiki yangu, kwakuwa Mungu ndiye kiongozi wangu hakuna baya litakalonifika katika hili ninalopitia naamini hivyo.
 
Sidhan kama waweza fanikiwa kupata mwanaume humu jf wengi wa wanaume tuliomo humu waongo
Kweli mkuu bora angejilengesha kwa jamii inayomzunguka, huku atakutana na pm za under 25
 
Back
Top Bottom