Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

Ee mwenye enzi Mungu nikumbuke tena katika upweke wangu

9.6m. Upo vizuri. Itabidi jamaa nawe awe vizuri zaidi ya hapo

All the best.
 
ILa sema jamaa wa humu ni 1984's+... below 81 ni wachache sana na humu hata viserengeti boi tupo punguza umri utapata tunaojua nini unahitaji. Age is just a number my dear. Karibu
 
Maisha na mahusiano yana changamoto ya hali ya juu mno, utapata, lakini yataka akili na moyo, ambayo yatafanya moyo wa wawili nyie kufurahia umoja wenu, kujikabidhisha' nae kujikabidhisha. Utapata jitihada muhimu.
 
Tuonane tafadhali, lakini bado sijajua unaposema tuonane pm. Njia ipi ili niingie pm.
 
Kwa kweli mdada nimeguswa sana na maisha yako na pia hitaji lako.
MUNGU wa ELIYA akupe haja ya ndani ya moyo wako hakika.
Angalizo , usichanganye imani ndiyo unaweza kuwa chanzo cha kukuumiza, kuwa makini katika hili la imani yako ili lengo lako litimie.
 
ILa sema jamaa wa humu ni 1984's+... below 81 ni wachache sana na humu hata viserengeti boi tupo punguza umri utapata tunaojua nini unahitaji. Age is just a number my dear. Karibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka uwe kibe10
 
Back
Top Bottom