Eee !! Mmeniacha kwenye mataa, Kumbe wote mumezamia nipe-nikupe humu !!

life is Short

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
4,741
Reaction score
3,037
Hodi hodi wenyeji naomba tafadhal mnikaribishe terminal ya Chit-Chat; Sifa zangu Mshari,Siguswi,Sili vya bure,Sichukui Ofa,Mdini,Mbaguzi,Mbishi,Mkaidi... Lakini Mkarimu napenda lifti !!
 
Mmh! Unakaribishwa ila subiri usajili toka kwa mw/kiti! Afu hapo kwenye lifti! Mmmh! Unatutisha em fafanua vzuri!mana humu kila mtu na MUME WAKEE!! Iba woote! Lakini chondechonde usijemwingilia dadangu Madame B atakutoa ngeo!! Shauri yako! Kariibuuuuu!
 
Last edited by a moderator:
Karibu...Jinsia yako tafadhali...Halafu umesema unapenda lifti...
Nashkuru... mie Rijali... ofcozi, nina gari langu na hupenda kudoe la wenzangu !! ....change chao na chao change !
 
Mmh! Unakaribishwa ila subiri usajili toka kwa mw/kiti! Afu hapo kwenye lifti! Mmmh! Unatutisha em fafanua vzuri!mana humu kila mtu na MUME WAKEE!! Iba woote! Lakini chondechonde usijemwingilia dadangu Madame B atakutoa ngeo!! Shauri yako! Kariibuuuuu!
Munkari ukhti kumbe nilipitwa mda wote huu sikujua corner za humu! Laa hasha sitishi mwana wa mtu! Yaani approachi zangu zitawavutia wenyewe watajileta..haha hau !! dadako Nampa high RESPECT kwani nimeona makovu wale walotangulia..... pmoja mercyBaby
 
karibu sana onana rais wetu Arushaone akupe muongozo.
 
Hodi hodi wenyeji naomba tafadhal mnikaribishe terminal ya Chit-Chat; Sifa zangu Mshari,Siguswi,Sili vya bure,Sichukui Ofa,Mdini,Mbaguzi,Mbishi,Mkaidi... Lakini Mkarimu napenda lifti !!

Kwa sifa hizi pasi na shaka wewe ni Ke yaani unamiliki K a.k.a Kitega uchumi.

Bila shaka Lift utapata.
 
Mmh! Unakaribishwa ila subiri usajili toka kwa mw/kiti! Afu hapo kwenye lifti! Mmmh! Unatutisha em fafanua vzuri!mana humu kila mtu na MUME WAKEE!! Iba woote! Lakini chondechonde usijemwingilia dadangu Madame B atakutoa ngeo!! Shauri yako! Kariibuuuuu!

Mdogo wangu nashukuru kwa kumpa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom