life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Hodi hodi wenyeji naomba tafadhal mnikaribishe terminal ya Chit-Chat; Sifa zangu Mshari,Siguswi,Sili vya bure,Sichukui Ofa,Mdini,Mbaguzi,Mbishi,Mkaidi... Lakini Mkarimu napenda lifti !!
Nashkuru... mie Rijali... ofcozi, nina gari langu na hupenda kudoe la wenzangu !! ....change chao na chao change !Karibu...Jinsia yako tafadhali...Halafu umesema unapenda lifti...
Munkari ukhti kumbe nilipitwa mda wote huu sikujua corner za humu! Laa hasha sitishi mwana wa mtu! Yaani approachi zangu zitawavutia wenyewe watajileta..haha hau !! dadako Nampa high RESPECT kwani nimeona makovu wale walotangulia..... pmoja mercyBabyMmh! Unakaribishwa ila subiri usajili toka kwa mw/kiti! Afu hapo kwenye lifti! Mmmh! Unatutisha em fafanua vzuri!mana humu kila mtu na MUME WAKEE!! Iba woote! Lakini chondechonde usijemwingilia dadangu Madame B atakutoa ngeo!! Shauri yako! Kariibuuuuu!
Nisalimie nafsi yako...mwambie Good night weekend...take care!Mmmmmh...haya
Mh. Kabanga Alhamdulillah ukarimu kwanza, Pili nimejifunza Rukhsaa from Mzee Ruksaa.hebu zungumza vizuri sifa zako....
Hodi hodi wenyeji naomba tafadhal mnikaribishe terminal ya Chit-Chat; Sifa zangu Mshari,Siguswi,Sili vya bure,Sichukui Ofa,Mdini,Mbaguzi,Mbishi,Mkaidi... Lakini Mkarimu napenda lifti !!
Mmh! Unakaribishwa ila subiri usajili toka kwa mw/kiti! Afu hapo kwenye lifti! Mmmh! Unatutisha em fafanua vzuri!mana humu kila mtu na MUME WAKEE!! Iba woote! Lakini chondechonde usijemwingilia dadangu Madame B atakutoa ngeo!! Shauri yako! Kariibuuuuu!
Kwa utu uzima wangu !! Mokoyo atanipenda sana !! mmh nikae naye mbali , hapo sasa !