Eee mungu mpe maisha marefu mume wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!

Eee mungu mpe maisha marefu mume wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,761
hii ni sala yangu ya kila siku kwa Mungu ,ampe maisha marefu na ulinzi utoao kwake aweze kuzishinda tamaa za huu ulimwengu kwani akianguka na mimi nitaanguka,sijui kama yeye nae huniombea ila mimi nafanya hivyo kama wajibu wangu kumwombea yeyena familia yote na vitu vingine ila for the start naanza nayeye.
swali???
je wenzangu munawaombea waume zenu?
je na nyie wanaume munawaombea wake zenu?
busara na hekima inahitajika nawakilisha.

nivea uwe unamwombea achukue sana nyumba ndogo apate uzoefu
 
Last edited by a moderator:
nivea nami ntakuwa namuombea nikimpata.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna ambaye huwa anaomba halafu asimwombee na wenzi wake kweli, plus watoto? unless hana mazoea ya kuomba, I can understand! ni mtizamo wangu lakini....
 
Hivi hii thread inastahili kutupotezea muda kweli? kama huna la kusema si afadhali unyamaze na tukajua upo.
 
hii ni sala yangu ya kila siku kwa Mungu ,ampe maisha marefu na ulinzi utoao kwake aweze kuzishinda tamaa za huu ulimwengu kwani akianguka na mimi nitaanguka,sijui kama yeye nae huniombea ila mimi nafanya hivyo kama wajibu wangu kumwombea yeyena familia yote na vitu vingine ila for the start naanza nayeye.
swali???
je wenzangu munawaombea waume zenu?
je na nyie wanaume munawaombea wake zenu?
busara na hekima inahitajika nawakilisha.

kabla ya yote ungetafuta uhakika kama mumeo anakuombea, ututolee ushuhuda kwanza; utawaambiaje wengine (wanaume) wawaombee wake zao wakati wewe mwenyewe hujui kama wako anakuombea?
 
halafu siku anaenda nyumba ndogo ndio utanena kwa lugha vizuri.....:dance:
 
Mi nadhani nina matatizo, yani nikianza kumuombea mupenzi wangu tu basi nashikwa na usingizi mzito utadhani nimekula kiporo cha wali maharage. Nimesitisha zoezi hilo muda sana labda nianze leo. Ngoja nijaribu
 
Hivi hii thread inastahili kutupotezea muda kweli? kama huna la kusema si afadhali unyamaze na tukajua upo.
brazilian nenda kule kwenye siasa kajadili Dr ulimboka bana nani kakuita huku wewe thread zote jf huwa unajibu siunapotezea tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom