Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
hii ni sala yangu ya kila siku kwa Mungu ,ampe maisha marefu na ulinzi utoao kwake aweze kuzishinda tamaa za huu ulimwengu kwani akianguka na mimi nitaanguka,sijui kama yeye nae huniombea ila mimi nafanya hivyo kama wajibu wangu kumwombea yeyena familia yote na vitu vingine ila for the start naanza nayeye.
swali???
je wenzangu munawaombea waume zenu?
je na nyie wanaume munawaombea wake zenu?
busara na hekima inahitajika nawakilisha.
swali???
je wenzangu munawaombea waume zenu?
je na nyie wanaume munawaombea wake zenu?
busara na hekima inahitajika nawakilisha.