FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #81
Nasikia Kesho ndio Karume anampindua Seif Sharrif Hamad.
Tuma CV yako nione kama una deserve!
hehehe! sasa unajLINGANISHA na JS ama vipi? ana vyeti uyo! usifanye mchezo kabisa apo we kusanya uchakavu tu!
Nasikia Kesho ndio Karume anampindua Seif Sharrif Hamad.[/QUOTE]
sasa wakikusikia hao! haya mambo ya siasa haya!
Na kweli bana! Naona nimeteleza kiduchu; nimesahau nina aleji ya siasa! Hivyo vyeti vya uhasibu vya JS kavipata lini? Mi najua cheaman umenibania sababu JS anavaa sketi...........
.. 😀😀...hehehe! sasa unajLINGANISHA na JS ama vipi? ana vyeti uyo! usifanye mchezo kabisa apo we kusanya uchakavu tu!
Na kweli bana! Naona nimeteleza kiduchu; nimesahau nina aleji ya siasa! Hivyo vyeti vya uhasibu vya JS kavipata lini? Mi najua cheaman umenibania sababu JS anavaa sketi...........
mheshimiwa mwenyekiti,karibu ujibu hoja ya msingi
Sasa Xspin ule mpango ndo vipi maana umedivert mpaka ukajisahaulisha kabisa makusudi we huoni baridi inazidi????
Bado nasubiri PM yako nikamate contacts zako biashara ianze. Naona bado imeweka kambi Jambo Pub!
Eti binamu hiyo Jambo Pun ndio ''Chawote Bar'' au?
Hahaha! Naona umetoka kuzimua kidogo!
Jambo Pub ni Jambo Pub
Chawote ni Chawote
Zero Pub ni Zero Pub
Nimerusha mistari hapo................
yeeeeeaaahh!......Hahaha! Naona umetoka kuzimua kidogo!
Jambo Pub ni Jambo Pub
Chawote ni Chawote
Zero Pub ni Zero Pub
Nimerusha mistari hapo................
Hujatulia binamu........sina hangover mwaka huu nimeamua kupumzika kinywaji na ngono zembe!
Hujatulia binamu........sina hangover mwaka huu nimeamua kupumzika kinywaji na ngono zembe!
Hapo kwenye blue sawa! Ila hapo kwenye red, ntakufanyia maombi pale TBL! Ushindwe na ulegee!
naona tbl watakuwa wamepata PIGOHata Cocacola na maji poa nao wanalipa kodi pia! Ngoja tuwape na wao faida kidogo!
yeeeeeaaahh!......
kwa msaada zaidi ni bora akupiemu
akikupiemu utamuonyesha wapi wadau tunakula vitu
inaweza kuwa zero,chawote au jambo pub
huko kote kumekucha michemsho na makange ya kuku,
utakula vodka,whisk bia na valuu
watoto wakishua wakiona lazima wainue mikono juu
yeeeeeaaah!...
naona tbl watakuwa wamepata PIGO
hahaha masaki na ngono Zembe 2009
2010 - Kijana mtiifu
hahahahahahahah!Ukienda Chawote unakula bia na Neema,
Ukitinga zero kokoto valuu kwa heshima,
Kwa huduma zaidi, Eliza hana hujuma,
Jambo pub kwa ankal utamkuta Fatuma,
Akichelewa kwa spidi aja Halima,
Ni bia valuu na kudumisha Mila
Mistari hiyo inaendelea.......
Tehe tehe tehe binamu unaua bendi! Itabidi meneje mauzo wa Ndovu aje aongee nami vizuri! Labda naweza kufanyia marekebisho kidogo hizi ''New Year Resolutions'' zangu!
hahahahahahahah!
UMEKULA SENKSI kwasababu UNATISHA
unashusha rhymes mpaka watu WANADATA
WANADATA DATA DATA DATA DATA DATA
kweli injinia unatisha kila kona
nimekukubali kwa valuu na nyama choma
nimekuheshimu ni kijana wa kimila
tukitoka hapa stendi ya kwanza basihaya
yeeeaah,AHAAAKwakweli umenisikitisha na kunikatisha tamaa
Inakuwaje mvuvi akaogopa kibua?
Bila wewe ndugu wakosa ajira na kulala njaa,
Fanya marekebisho Eliza apate kuvaa,
Muhimbili wagonjwa wapate madawa,
Watu wakose dawa kisa Masaki kasusa?
.............................