FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #81
Nasikia Kesho ndio Karume anampindua Seif Sharrif Hamad.
mapinduzi ya zanziberi haya mabinamu tunakutana wapi kujipongeza nyama choma iwepo sio tunakunywa bia na karanga mbichi..?