bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
mi naona heri kuwa baridi
kwa staili ya avatar yako leo mamii baridi ni bora!!! kweli leo unashereheke mapinduzi (the glasses tel me zat)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi naona heri kuwa baridi
Nimeisoma akili yako so to say!!!
mimi nipe hongera!!!!! am workerholic
hivi niulize wanaondaga kwenye maandamano niwazalendo sana? wanalipwa au inakuwaje??? mimi sikumbuki the last time kushiriki haya mambo mtanzania mwenzenu!!!!
kwa hiyo FL1 wewe ni moto au baridi
HAHAHA MIE NIKO BARIDI KABISA NA MAMBO YA NCHI HII
vip wewe BHT?
hhahaha binamu stuka..wanaoendaga kwenye maandamana wanakuwa wameandaliwa tayari if u know what am saying....sasa ukiona ivo ujue hata utanzania wako unahojika...na sio wako tu bali wa wengi wetu manake kuna sisi na wao...(he hebu nisijeingia kwen siasa hapa)
angalia usilewe sana kazi B ukashindwa kufanya mambo mengine lol
oooh kumbe!!! yaani mi najiulizaga eti moja mbili mpaka sijui uwanja wa taifa/kwa bibi sherehe ya uhuru.....hahaaa Gosh!!!!!!
sasa sibora nilewe kazi kuliko kwenda kuandamana?? wat am I achieving thou???
oooh kumbe!!! Yaani mi najiulizaga eti moja mbili mpaka sijui uwanja wa taifa/kwa bibi sherehe ya uhuru.....hahaaa gosh!!!!!!
Sasa sibora nilewe kazi kuliko kwenda kuandamana?? Wat am i achieving thou???
thats one of the most important questions B! au bora ujilalie zako tu! mi sijawahi kuona kwa nini upindue halafu usherekee?
kwa staili ya avatar yako leo mamii baridi ni bora!!! kweli leo unashereheke mapinduzi (the glasses tel me zat)
wewe wanena
karibu sana ndio raha ya kupinduka..lol
Yeh Sisy, u r playing your part teh teh teh teh.eeeh sas mimi mtz wa kawaida hata tshirt na zile kofia nani wa kunipa angalau na mi niwe miongoni mwao???
eeh bwana eeh acha nilijenge taifa kw kuchapa kazi!!! am doing my bit!!!
Heri ya mapinduzi everyone, naona wazalendo wako uwanjani wachache tuliyo FROZEN tuko humu, life goes on........
Yeh Sisy, u r playing your part teh teh teh teh.
hahaa Lily acha kunichekesha tena na wewe!!! Hivi na hii nayo ya kutakiana heri eeeeh!!!! njii hii ina mambo!!!
zamu yao kwenda huko sisi tulienda sana enzi za puraimari na hamna lamaana niliona!!! niliishia kununua ngubit na kuchafua unifomu basi!!!
hahaa Lily acha kunichekesha tena na wewe!!! Hivi na hii nayo ya kutakiana heri eeeeh!!!! njii hii ina mambo!!!
zamu yao kwenda huko sisi tulienda sana enzi za puraimari na hamna lamaana niliona!!! niliishia kununua ngubit na kuchafua unifomu basi!!!
Yaani hapo kwenye blue umenikumbusha mbali dah tumetoka mbali nakumbuka ulikuwa unaitafuna mpaka kieleweke.
kama vile tuliprimarika pamoja maana hata mimi nakumbuka kulikuwa na ngubiti, kashata za ufuta zile na mnaanikwa kwenye jua mpaka mkome na hakuna wa kuwatetea wao wako jukwaani kwenye kivuli wanahutubia, njii hii bana