Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

Eeh kumepooza humu ndani ..Kulikoni?

Nimeisoma akili yako so to say!!!

mimi nipe hongera!!!!! am workerholic

hivi niulize wanaondaga kwenye maandamano niwazalendo sana? wanalipwa au inakuwaje??? mimi sikumbuki the last time kushiriki haya mambo mtanzania mwenzenu!!!!

hhahaha binamu stuka..wanaoendaga kwenye maandamana wanakuwa wameandaliwa tayari if u know what am saying....sasa ukiona ivo ujue hata utanzania wako unahojika...na sio wako tu bali wa wengi wetu manake kuna sisi na wao...(he hebu nisijeingia kwen siasa hapa)

angalia usilewe sana kazi B ukashindwa kufanya mambo mengine lol
 
oooh kumbe!!! yaani mi najiulizaga eti moja mbili mpaka sijui uwanja wa taifa/kwa bibi sherehe ya uhuru.....hahaaa Gosh!!!!!!

sasa sibora nilewe kazi kuliko kwenda kuandamana?? wat am I achieving thou???
 
thats one of the most important questions B! au bora ujilalie zako tu! mi sijawahi kuona kwa nini upindue halafu usherekee?
 
oooh kumbe!!! Yaani mi najiulizaga eti moja mbili mpaka sijui uwanja wa taifa/kwa bibi sherehe ya uhuru.....hahaaa gosh!!!!!!

Sasa sibora nilewe kazi kuliko kwenda kuandamana?? Wat am i achieving thou???

wewe wanena
 
thats one of the most important questions B! au bora ujilalie zako tu! mi sijawahi kuona kwa nini upindue halafu usherekee?

wanaadhimisha eti....9i dont even knw the difference btn that na kusherehekea bt am sure its there if i consult my TUKI)

ALL IN ALL siku ntakayo kwenda uwanjani kwa shughuli hizo basi husband atakuwa mpolitician na kakikwaa cheo fulani (hope u understand wat i mean here)

vinginevyo ntalala mpaka godoro libonyee siku hiyo!!!
 
kwa staili ya avatar yako leo mamii baridi ni bora!!! kweli leo unashereheke mapinduzi (the glasses tel me zat)

karibu sana ndio raha ya kupinduka..lol
 
wewe wanena

eeeh sas mimi mtz wa kawaida hata tshirt na zile kofia nani wa kunipa angalau na mi niwe miongoni mwao???

eeh bwana eeh acha nilijenge taifa kw kuchapa kazi!!! am doing my bit!!!
 
Heri ya mapinduzi everyone, naona wazalendo wako uwanjani wachache tuliyo FROZEN tuko humu, life goes on........
 
karibu sana ndio raha ya kupinduka..lol

hahaaaa jamani we mwana weeee umeibariki asubuhi yangu kwa kunifanya nicheke loudly!!!! thanks dia!!!

angalia usipinduke mpaka ukavunja maungo tu!!!
 
eeeh sas mimi mtz wa kawaida hata tshirt na zile kofia nani wa kunipa angalau na mi niwe miongoni mwao???

eeh bwana eeh acha nilijenge taifa kw kuchapa kazi!!! am doing my bit!!!
Yeh Sisy, u r playing your part teh teh teh teh.
 
Heri ya mapinduzi everyone, naona wazalendo wako uwanjani wachache tuliyo FROZEN tuko humu, life goes on........

hahaa Lily acha kunichekesha tena na wewe!!! Hivi na hii nayo ya kutakiana heri eeeeh!!!! njii hii ina mambo!!!

zamu yao kwenda huko sisi tulienda sana enzi za puraimari na hamna lamaana niliona!!! niliishia kununua ngubit na kuchafua unifomu basi!!!
 
kama vile tuliprimarika pamoja maana hata mimi nakumbuka kulikuwa na ngubiti, kashata za ufuta zile na mnaanikwa kwenye jua mpaka mkome na hakuna wa kuwatetea wao wako jukwaani kwenye kivuli wanahutubia, njii hii bana
 
Yaani hapo kwenye blue umenikumbusha mbali dah tumetoka mbali nakumbuka ulikuwa unaitafuna mpaka kieleweke.
 
hahaaa liliy afu maeksipati wa ngubit walikuwa arusha dah nilikuwa natafuna mpaka naskia kizunguzungu hahaaaa

kama vile tuliprimarika pamoja maana hata mimi nakumbuka kulikuwa na ngubiti, kashata za ufuta zile na mnaanikwa kwenye jua mpaka mkome na hakuna wa kuwatetea wao wako jukwaani kwenye kivuli wanahutubia, njii hii bana

na we Naniliu usijifanye kunisahau!!!! enzi zile za mwalimu Kinyaiya na Laizer!! uwanjani lazima kenda na hakuna kuondoka mpaka programu iishe!!! no mata how sunny it is mtashaaa hapo!!!

ndo maaana tumekinai hii kitu ya maandamano!!!!
 
Back
Top Bottom