Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Nilifanya Maombi kwa kupiga magoti na kufunga ili Mungu awaadhibu vikali wote waliodhamiliakumuuwa Mhe Tundu Lisu, ninaamini maombi yalipokelewa na yaliitikiwa kwa imani yangu. Huyu Mungu muumba wa ardhi na Mbingu, ndiye aliyeumba viumbe vyote na vyote viko chini ya himaya yake. Anatenda miuzijaza .
Hawa watu ni wabaya sana wasiokuwa na huruma kwa tamaa zao za madaraka ikiwa kweli wamembambikizia Mhe Mbowe kesi. Nasema na naamrisha nguvu za Majeshi ya Mungu yashughulike nao mara moja na wote pamoja na vizazi vyao. Na ikiwa Mbowe alifanya vitendo vya kigaidi basi Mungu ashughulike naye mara moja.
Hawa watu kama kweli wametenda uovu huu kwa makusudi basi wafe wote na waangamie na vizazi vyao. Huwezi kumsingizia kesi kubwa kiasi hiki mtu ambaye hana skendo hata ya kuchapa mtu fimbo katika mahakama yeyote. Hawa ni watu wa ibilisi , Mungu asijue maombi yangu ikiwa Mbowe hakutenda Ugaidi wowote. Mungu ni wa wote, ana huruma na anasikia maombi.
Hakuna faida yeyote katika taifa kumsingizia Mbowe kesi, hakuna faida yeyote ya kumlaza Mbowe magereza na kumpotezea muda wake ikiwa hakutenda kosa. Kumfunga Mbowe hakutasaidia chochote zaidi ya chuki katika taifa. Kwa mantiki hiyo nawashtaki kwa Mungu ikiwa mashtaka haya ni ya Uongo na atatenda. Nitafunga na kupiga magoti Mbele za Mungu juu ya hili.