Kama nani? Wajumbe mliokuwa mnayasubiri kwa hamu ili mkachinje wagombea kwenye kura?
Hiki kituo kibadilishwe tu jina ili watanzania wawe wanajue kuwa mpo kwaajili ya kutoa habari za chama, mambo mengine wakatafute kwenye vyanzo vingine vya habari ambayo havina chembe za uchawa ndani yake.