EFM sio media ya kurusha simulizi za aina hiii zisizo na maana

EFM sio media ya kurusha simulizi za aina hiii zisizo na maana

Kuhabarishwa kwamba Kuna binadamu kwenye maumbile ya mnyama punda ni kosa? Sasa tungejuaje kwamba umbaji ulikosewa badala ya kuwekewa punda akawekewa binadamu
 
Huo muda tu wa kusikiliza vipindi vya kipuuzi sijui unautoa wapi, kwa ukanda huu kama unataka upate at least kitu media ni Kenya tu radio na tv
 
Media za bongo hazina content.Vipindi vya kijinga ni vingi sana badala ya vya maana.Miaka michache ijayo tasnia ya habari itakufa kifo fufu,nafasi yake itachukuliwa na mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom