Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.
Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.
Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!
Taarifa zaidi nitawaletea