Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

wasije wakachukuwa watu wasiojitambua kama baadhi ya watangazaji wa Azam tv ,kuna yule mzee anatangaza magazeti sijui anaitwa Mohamed nani,da huyu mtangazaji anachosha sana
 
hawa michezo wanayoifanya mwisho wa siku wote watakosa watu itabaki story
 
Kwanini wanashindwa kuwatengeneza watangazaji wao ili waje kuwa maarufu na kujivunia?

Kama kutwa nzima kufukuzia watangazaji wa mawingu hii inawapaisha sana mawingu kuwa wao ndio wapishi wa watangazaji maarufu Tz.

Ni vema waanze kuwapika watangazaji wadogo wadogo ambao hawajapata kuwa maarufu.

Hawa wanaowafukuzui ipo siku watazeeka na kufa.
 
Na kinaua vipaji vya watangazaji wasiojulikana ambao wanahitaji airtime ya kujulikana na kujipambanua zaidi kwenye tasnia ya habari
Media ziko nyingi hizi ni mbili tu, na kila mttangazaji tayari ana program yake kwenye media, hao hawawezi kuendesha vipindi vyote. Mtangazaji atakuza kipaji chake kupitia kipindi chake.
 
Kwanini wanashindwa kuwatengeneza watangazaji wao ili waje kuwa maarufu na kujivunia?

Kama kutwa nzima kufukuzia watangazaji wa mawingu hii inawapaisha sana mawingu kuwa wao ndio wapishi wa watangazaji maarufu Tz.

Ni vema waanze kuwapika watangazaji wadogo wadogo ambao hawajapata kuwa maarufu.

Hawa wanaowafukuzui ipo siku watazeeka na kufa.
Mkuu mbona wanao watangazaji wao walio waibua! But mwisho wa siku ni kama ligi ya mpira lazima ufanye usajili ya vipaji vikali vikali na wazoefu wa mchezo ili uimarishe kikosi chako!

Mbona hata mawingu wanachukua sana watangazaji kutoka radio nyingine, mfano Millard Ayo (ITV), Mussa Hussein (EATV), Fredwaa (Radio Free), DJ Sinyorita (EATV), DJ Ziro (Channel ten), Zamaradi Nketema (C2C), kuna huyu dj mpiga visingeli wa Efm wamemchukua juzi kati.. etc etc etc

Ndio mchezo ulivyo mkuu, hauhitaji hasira! Ila dizaini kama mawingu wamepaniki..
 
Mkuu hao mawingu wenyewe wanaiba watangazaji kutoka EARadio kama Dj sinyorita, mamy baby wa xxxl na juz wamemsajili kicheko mtata alie kua kwny kundi la zecomedy la EATV! [emoji13]
 
Mkuu mbona wanao watangazaji wao walio waibua! But mwisho wa siku ni kama ligi ya mpira lazima ufanye usajili ya vipaji vikali vikali na wazoefu wa mchezo ili uimarishe kikosi chako!

Mbona hata mawingu wanachukua sana watangazaji kutoka radio nyingine, mfano Millard Ayo (ITV), Mussa Hussein (EATV), Fredwaa (Radio Free), DJ Sinyorita (EATV), DJ Ziro (Channel ten), Zamaradi Nketema (C2C), kuna huyu dj mpiga visingeli wa Efm wamemchukua juzi kati.. etc etc etc

Ndio mchezo ulivyo mkuu, hauhitaji hasira! Ila dizaini kama mawingu wamepaniki..
Kweli jamaa wamepaniki mbaya wanatamani hata kuiua kabisaaa efm
 
Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.

Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.

Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!

Taarifa zaidi nitawaletea

Kwa Babie Kabae nitakukatalia 100% kuwa ni uwongo na haitakuja kutokea hata siku moja. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom