Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Lulu.Hivi EFM mmiliki wake ni nan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lulu.Hivi EFM mmiliki wake ni nan?
Hiyo tv e inapatikana kingamuzi gani mdau?Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.
Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.
Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!
Taarifa zaidi nitawaletea
Kwanini?
Yanini shida yote hiyo waje star time wasituchoshe.Wako azam au www.efm.co.tz au link kwa michuzi blog au tunein tz radio station
Yako mwisho lumumba ngoma droo.Redio yenyewe mwisho Magogoni
Efm wanapatina kwenye iTunes
Nasikia ni Pombe.....Hivi EFM mmiliki wake ni nan?
Safi najua lazima washa anza kulishughulikia mapema hiloNimesikia inaingia zaidi ya mikoa 3 mkuu
Download tune inHiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Millard Ayo hawezi kuondoka Clouds,aligoma kwenda BBC sembuse hao EFM hajafika ata hapo kibaha?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] haya chukua [emoji320]hata Mimi pia japo sio msikilizaji wa redio sana!
ni zaidi ya......leo nimepta msamiati mpya!Mambo yote yanataka hela tu hakuna mbabe kwenye pesa..yani Pesa ni zaidi ya Kilainishi kilichopigwa marufuku na serikali..
Milard Ayo ni mtangazaji wa habari za burudani huko BBC atatangaza kipindi gani na pia elimu yake ni ndogo kuajiriwa BBC
Nani alikudanganya BBC wanaajiri wa elimu kubwa? Unamfahamu John Solombi? fuatilia alichukuliwa na BBC akiwa na elimu gani? Huyo Kekeke mwenyewe alijoin BBC akiwa na elimu ya kiwango gani? Mambo usiyoyajua bora kukaa kimya!Milard Ayo ni mtangazaji wa habari za burudani huko BBC atatangaza kipindi gani na pia elimu yake ni ndogo kuajiriwa BBC
Zipo kadhaa tune in ila TCRA hairuhusu kama huna national broadcasting license huruhusiwi kustream online na waliomo wana national license Kama radio one,rfa,clouds,earadio etc kama unaisikia isiyo national online tafsiri yake wanavunja sheria kenya ni kenya na bongo ni bongoHiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Mleta thread mbona unataka kuogopa kweupe!!? Mpango wa kufungua TV upo lakini iko processed mpka mwakani ila hzo za TV kufanya kaz na kuwasajili watajwa juu Nina mashaka nalo..labda unifahamishe vizuriWakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.
Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.
Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!
Taarifa zaidi nitawaletea
Mleta thread mbona unataka kuogopa kweupe!!? Mpango wa kufungua TV upo lakini iko processed mpka mwakani ila hzo za TV kufanya kaz na kuwasajili watajwa juu Nina mashaka nalo..labda unifahamishe vizuri