Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Nani alikudanganya BBC wanaajiri wa elimu kubwa? Unamfahamu John Solombi? fuatilia alichukuliwa na BBC akiwa na elimu gani? Huyo Kekeke mwenyewe alijoin BBC akiwa na elimu ya kiwango gani? Mambo usiyoyajua bora kukaa kimya!
Kama hujui Kikeke ni graduate wa SUA kabla hajaanza utangazaji,
Enzi za kina Tido Mhando,Charles Hillary ndio walikuwa hawaangalii elimu siku hizi elimu ni kigezo kikubwa kupata kazi BBC