Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Nashukuru kwa kuelewa. Naomba sasa tukubaliane kwamba kufeli form four haimaanishi mtu hawezi kujiendeleza. Ninazo taarifa kwamba Millard amesoma kiwango cha cheti, haiwezi kuwa kajiendeleza baada ya hapo? Kumbuka fursa za kusoma zimekuwa nyingi siku hizi, na wenzetu (Ulaya) ni tofauti na sisi wanatambua na kuzikubali njia nyingi za kujiongezea elimu!
Milard Ayo ameshauriwa sana asome na angekuwa mtu wa kusoma angekuwa kishasoma miaka ya nyuma BBC/DW walikuwa hawaangalii shule kipaji ndio ilikuwa priority sana ndio maana kina Tido Mhando,Charles Hillary siku hizi mambo ni tofauti elimu ni priority kubwa sana