Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

Hivi hamna namna ya kuajiri kizazi kipya? Mbona wenye taaluma kama hizo wako mtaan wengi tu? Inashangaza sana Efm kuwania watangazaj na Clauds wakat vijana kibao wenye taaluma wako mtaan badala yake wanaajiri watu maarufu wasiokuwa na taaluma alaf wanategemea kuongeza wasikilizaji kuna watangazi uchwara wengi sana
 
ila PJ ni bonge la mtangazaji asieee/.... daah ..sijui kwa nni jamaa wanamuhangaisha hivi....atulie sehemu moja [PJ ni jamaa mtangazaji wa maana sana..
 
millady yupo vizur huwezi kumtoa kizembe zembe kwa mihemko anajitambuaa yule dogo
 
Hawa nao inakuwaje kugombea watangazaji??
 
Sasa Millard nilifikiri akitoka Clouds ataanzisha TV yake.....why aende ETV?
Mkuu kuna mtu kaiga avatar yako nilianza kushangaa post yake kuangalia jina tofauti ila katumia avatar ya Wash alipokuwa kijana zaidi.
 
Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Efm ipo kwenye live tream instal app ina itwa (Radio fm) upate uhondo
 
Hawa nao inakuwaje kugombea watangazaji??
Mbona vyama vinaibia wenzao? Mara chukua chako mapema mara magwanda mara haki kwa wote. Pesa sabuni ya roho mwanangu mpaka Phd zinatupwa nje watu wanaanza kuwapigia magoti watoto zao. Mtu yupo tayari awe mkimbizi wa ihari sababu ya pesa. HUJAMBO?
 
Millard ayo hatoki pale wacha kuota kwa sauti
Millard nae ovyo tu, yaan ashakuwa na uwezo wa kujitegemea bado anakaa under someone huko ni kutojiamini kabisa mshauri ajitegemee ili apige hatua huyo
 
Uko sawa kwenye hili ni kweli alisoma Diploma sio degree. Milard Ayo alifeli form 4 huwezi ukalinganisha na Kikeke aliyekuwa na Diploma miaka ya 90s.BBC /DW miaka ya karibuni ajira zao elimu ni priority ndio mfano Michael Baruti, Anord Kayanda,Zuhura Yunus na Isaac Gamba walioajiriwa miaka ya karibuni wote shule yao huwezi linganisha na Milard Ayo
Nashukuru kwa kuelewa. Naomba sasa tukubaliane kwamba kufeli form four haimaanishi mtu hawezi kujiendeleza. Ninazo taarifa kwamba Millard amesoma kiwango cha cheti, haiwezi kuwa kajiendeleza baada ya hapo? Kumbuka fursa za kusoma zimekuwa nyingi siku hizi, na wenzetu (Ulaya) ni tofauti na sisi wanatambua na kuzikubali njia nyingi za kujiongezea elimu!
 
Millard nae ovyo tu, yaan ashakuwa na uwezo wa kujitegemea bado anakaa under someone huko ni kutojiamini kabisa mshauri ajitegemee ili apige hatua huyo
Maisha sio kukurupuka.
Unadhani wewe unaijua sana kazi yake kuliko yeye??
 
Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema.

Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana.

Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa!

Taarifa zaidi nitawaletea
Tv yao inaiteaje?
 
Mbona vyama vinaibia wenzao? Mara chukua chako mapema mara magwanda mara haki kwa wote. Pesa sabuni ya roho mwanangu mpaka Phd zinatupwa nje watu wanaanza kuwapigia magoti watoto zao. Mtu yupo tayari awe mkimbizi wa ihari sababu ya pesa. HUJAMBO?
Sijambo mama, sijui wewe.
Kusaka pesa kunapelekea tunafanya mambo ya ajabu ajabu.
 
Inaonekana kapaniki sana.
Wenzao EA Redio mbona huwa hawatetereki sana hata kama majembe yao yakichukuliwa.
Ea radio mpaka nimeamua kukiita chuo wao wanatengeneza wanaopenda vya kunyonga wanajibebea tu
Halafu pengo la pj kaliziba kitenge
 
Back
Top Bottom