Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
[emoji121]Wakuu salamu tena mm ndio nilikuwa mtu wa kwanza kuleta habari juu ya Clouds Kumsajili PJ mapema. Naomba niwaletee na hiii kwa mara ya kwanzaa! Taarifa za kunyapia nyapiaa inasemekana Masaa machache baada ya Clouds kuwachukua watangazaji wa Efm E nao wamejibu mapigo kwa kuwasajili Watangazaji wanne wa Clouds ambao muda wowote watatuaa E media! Watangazaji hao hasa wa Wa TV2 na wa Radio 2! Inasemekana Baby Kabae Casto Dikson Millard Ayo na Raymond Mshana. Taarifa hizo zinatanabaisha kwamba now E wanajiimalisha kwenye TV yao mpya ambayo ipo hewani now! Nikama mchezo wa kuigizaaa! Taarifa zaid nitawaleteaa
Millard ayo hatoki pale wacha kuota kwa sauti
Kuna sheria zake mkuuKabla ya kufungua hicho kituo cha TV wangehakikisha angalau Radio yao inafika kwenye Majiji ya Tz
Wewe hiyo stream yako itakuwa ya kichina, radio za tz ni nyingi mno kwenye Internet kuzidi hizo za Kenya, Efm wako hewani 24/7Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Radio nyingi kwa sasa tza ziko online tofauti na miaka 2 iliyopita..Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
jaribu tunein wanaweza kuwepo, azam decoder wapo.Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
DJ majizo! Kutoka kuwa DJ crew ya 'kwa fujo djz' mpaka kuwa CEO wa media inayotikisa jiji la dalisalama.. Nimependa formula ya huyu Mkuu..Hivi EFM mmiliki wake ni nan?
Yule Dj nani nani sijui.....[emoji134] [emoji134]Hivi EFM mmiliki wake ni nan?
Hiyo efm mbona huku mokoani hawapo?Halafu redio za Tanzania huwa hawapo live stream kwa nini au ni ushamba tu?Mbona kenya wapo sana?Mi nasikilizaga sana Classic fm 105 kenyamoja.com
Thanks mkuu, inapemdeza maana wanaleta ushindani sanaDJ majizo! Kutoka kuwa DJ crew ya 'kwa fujo djz' mpaka kuwa CEO wa media inayotikisa jiji la dalisalama.. Nimependa formula ya huyu Mkuu..