eFM Wajibu mapigo na kumchukua Twalib Omari wa CLOUDS FM

eFM Wajibu mapigo na kumchukua Twalib Omari wa CLOUDS FM

Punguza jazba...
Wala sio jazba ila naona kama hawa jamaa sasa wanaboa hata huo weledi kwa redio zetu hizi haupo imebaki kurunishiana tu misuri kusikokuwa hata na maana yoyote!!
Wakenya wataendelea kutuburuza sana kwe mambo mengi si haya ya habari tu.....ule utafiti wa kusema watz tunatumia 1% kufikiria nishaukubali aisee!!
 
Nahisi utwala ni mmoja juzi juzi alichukuliwa PJ yule mtaalamu sana wa kuperuzi na kudadisi kwenda e-fm now amerejea tena clouds
 
Kweli huu mchezo hauhitaji hasira... Yule mtangazi bora wa Sports extra ya Clouds FM Leo kasajiliwa rasmi EFM.

Hii vita sijui nani ataishinda...
Vita yoyote Tanzania anashinda "JPM" tu.
 
I am tired of this efm and clouds thing.We need something different.Atokee mtu aanzishe redio mpya iwagonge wote waliopo.
EA Radio inakuja kwa kasi sana, itawapoteza hao wote.

Tusubiri tuone
 
Hivi kumbe bado kuna watu bado wanasikilizaga radio ya mabwabwa!!
"Ama nenee, dizain kama ushoga mtupu" [emoji19] [emoji19]
 
I am tired of this efm and clouds thing.We need something different.Atokee mtu aanzishe redio mpya iwagonge wote waliopo.

Mkuu kwani ukiandika kwa Kiswahili kitupu hueleweki? Acha kuendekeza ukoloni mamboleo. Jivunie na kuienzi lugha yako adhimu ya Kiswahili.
 
Twalib Omary ndani ya mwaka huu wa 2016 amefanya kazi sehemu tatu totauti.Alikuwa azam akaenda clouds na sasa efm..

Sidhani kama hii ni dalili nzuri kwa mtangazaji anayetaka kuwa na identity yake na wasikilizaji wake.At least kaa sehemu moja muda mrefu uestablish fan base yako.Hii trend inakufanya usiwe wa muhimu kila unapoenda kwa sababu wapo waliojiestablish vyema huki uendako.Unaishia kuwa back up tu
 
Back
Top Bottom