eFM Wajibu mapigo na kumchukua Twalib Omari wa CLOUDS FM

eFM Wajibu mapigo na kumchukua Twalib Omari wa CLOUDS FM

Clouds wana mwanya mzuri tu wa kuwa juu ya E-FM sababu tena sasa hivi baada ya haya mambo ya kama fiesta ndio mwanya mzuri kuingia watu zaidi na wakaishi wanaikumbuka kuwa wapo.

Hata kama hawana muda wa siku nzima kusikiliza redio au kuangalia TV stesheni yao lazima watafanya hivyo kila siku.

Hapa ndio yale ya ujuzi na mengineyo uingia katika maisha ya biashara. Naishia hapa
 
I am tired of this efm and clouds thing.We need something different.Atokee mtu aanzishe redio mpya iwagonge wote waliopo.
Lemutuz anakuja na FM radio na TV atawakalisha wote!
b53f49818100fea98a8cd3d58a14ce63.jpg
 
Asante mkuu.nilikuwa moshi kili FM inasikilizwa sana kuliko clouds.kuna stesheni za taifa na za mikoa.efm wenzake kili FM,jembe FM na wengine wa mikoani.clouds na EA radio ni redio za taifa

Upo sahihi, ukizungumzia coverage wise....!!
 
Nahisi efm watakua wanachemka zaidi kama wakimuweka huyo mtangazaji katika kipindi cha michezo mana kile kipindi kina zaidi ya watu watano mfano Maulid Kitenge, Omary Katanga, Tunu, Oscar Oscar, Sudi, Maestro na kama wakiongeza mwingine then itakua too much
 
Kweli huu mchezo hauhitaji hasira... Yule mtangazi bora wa Sports extra ya Clouds FM Leo kasajiliwa rasmi EFM.

Hii vita sijui nani ataishinda...
Huyu twalib yupo Efm kabla hata Masigara pj kuondoka hakuwahi tu kuruka hewani huwezi sema wamejibu mapigo
 
Haya waendelee kushindana

Wanapoteza muda kwa kutokuvumbua wengine wapya, wanaoweza kuwaingizia pesa kibao wanazotafuta.
Hao ndio wapo sokoni,soko la sasa halihitaji kukuza utafeli tu.Nunua kwa bei mbaya urudishe pesa yako kwa muda mfupi wakati huohuo unaongeza wasikilizaji
 
Asante mkuu.nilikuwa moshi kili FM inasikilizwa sana kuliko clouds.kuna stesheni za taifa na za mikoa.efm wenzake kili FM,jembe FM na wengine wa mikoani.clouds na EA radio ni redio za taifa
Taifa lako sio?
 
huo ni upuuzi.

hakuna wapya wasio na ajira mitaani?
 

Attachments

  • 1476977340702.jpg
    1476977340702.jpg
    15.4 KB · Views: 25
EFM ni sehemu yakupumzikia watangazaji wa Clouds,wakimhitaji anytime anarudi.

Clouds inaushindani kama wa EFM kila mkoa kwa hiyo bado wana safari kujilinganisha na Clouds.

Na kama unafuatilia utagundua kuwa EFM anachukua waliofukuzwa Clouds lakini Clouds inawaachisha kazi huko EFM.

Mmoja anawinda mwingine anasubiria rejects.
Huo ni mtazamo wako Potofu. Efm nao washabid na kutuma request za kutaka kutanfaza kila Mkoa. Na wakianza basi Clouds watabakia na watangazaji wao na Efm ita vumbua wapya. Kwakua watakua wanagombea wateja na hapo ndio downfall ya Clouds.
 
Back
Top Bottom