uduzungwa
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 552
- 543
Pole.Bila picha huwa sielewagi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole.Bila picha huwa sielewagi
Lemutuz anakuja na FM radio na TV atawakalisha wote!I am tired of this efm and clouds thing.We need something different.Atokee mtu aanzishe redio mpya iwagonge wote waliopo.
Asante mkuu.nilikuwa moshi kili FM inasikilizwa sana kuliko clouds.kuna stesheni za taifa na za mikoa.efm wenzake kili FM,jembe FM na wengine wa mikoani.clouds na EA radio ni redio za taifa
Huyo turubai anawe piga picha u simwaminigi kila anachopiga nacho picha utaona caption... "this is mine knw, this hw we run the town" chochote anachopiga nacho picha nakwambia chake!Lemutuz anakuja na FM radio na TV atawakalisha wote!![]()
wakiondoka hawa watu clouds sisikilizi tenaBado Millard ayo na twangala (b12)
Huyu twalib yupo Efm kabla hata Masigara pj kuondoka hakuwahi tu kuruka hewani huwezi sema wamejibu mapigoKweli huu mchezo hauhitaji hasira... Yule mtangazi bora wa Sports extra ya Clouds FM Leo kasajiliwa rasmi EFM.
Hii vita sijui nani ataishinda...
Hao ndio wapo sokoni,soko la sasa halihitaji kukuza utafeli tu.Nunua kwa bei mbaya urudishe pesa yako kwa muda mfupi wakati huohuo unaongeza wasikilizajiHaya waendelee kushindana
Wanapoteza muda kwa kutokuvumbua wengine wapya, wanaoweza kuwaingizia pesa kibao wanazotafuta.
Taifa lako sio?Asante mkuu.nilikuwa moshi kili FM inasikilizwa sana kuliko clouds.kuna stesheni za taifa na za mikoa.efm wenzake kili FM,jembe FM na wengine wa mikoani.clouds na EA radio ni redio za taifa
Ha haaaa i cant waitLemutuz anakuja na FM radio na TV atawakalisha wote!![]()
Hahahaha Mzee wa fursa nae ana dau lake tu huyu likifikiwa ananyanyuka mawinguLini watamsajili Ruge?
Bila picha huwa sielewagi
Jamaa sasa wanagombewa tuAcha watangazaji na wao wajikwamue.
Bila unafiki mambo hayanogiTukiweka unafiki pembeni E FM wataisumbua sana Clouds
Huo ni mtazamo wako Potofu. Efm nao washabid na kutuma request za kutaka kutanfaza kila Mkoa. Na wakianza basi Clouds watabakia na watangazaji wao na Efm ita vumbua wapya. Kwakua watakua wanagombea wateja na hapo ndio downfall ya Clouds.EFM ni sehemu yakupumzikia watangazaji wa Clouds,wakimhitaji anytime anarudi.
Clouds inaushindani kama wa EFM kila mkoa kwa hiyo bado wana safari kujilinganisha na Clouds.
Na kama unafuatilia utagundua kuwa EFM anachukua waliofukuzwa Clouds lakini Clouds inawaachisha kazi huko EFM.
Mmoja anawinda mwingine anasubiria rejects.