Pre GE2025 EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

Pre GE2025 EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wapumbavu watakaodhani kuwa maandamano ya CHADEMA hayana impact. hao ni wapumbavu tu kama wapumbavu wengine
Ww ndo mpumbavyo kww kuamini hayo maandamano ya chochote cha maana
 
Washapewa posho hao nyambafyu hawana time na watu wengine....
 
Huyo masanja si ni lumbumba piwa, wamezingua sana japo nao wana uhuru huo.
 
Badala ya kuwaelezea waTanzania matatizo yanayowakabili pamoja na utatuzi unaofanywa na serikali, inaonesha kabisa mwanzikishi hajajua dhima ya kuanzishwa kwa EFM!! Inasikitisha na kushangaza sana.
 
Wangefanya la maana kueleza serikali imefanya nini so far katika kujibu kero zinazolalamikiwa kwenye maandamano, wangekuwa wamekisaidia sana chama chao kuliko kukejeli kwa kupotosha. Ule ni upumbavu kwani wote tumeona kuwa maandamano ya Mbeya yamekuwa ya mafanikio kwa maana ya wananchi wengi kuhamasika kuwayaunga mkono.
 
Sasa chadema mnataka kila mtu ashangilie maandamano yenu? Nyie neno demokrasia mnalionaje?
Usiunge mkono lakini usikejeli maana ni wananchi wanaopigania haki zao dhidi ya maumivu ya maisha yaletwayo na serikali kwa njia ya kidemokrasia.
Kejeli hizo hawajui ndio zinaweza kuchochea ghasia? Hivi mob ikiona ni ujinga na kuchoma moto hicho kituo watakuwa na haki ya kulalamika kuwa "kituo cha radio kina haki ya kukejeli wananchi"?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.

Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".

Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️

Hawa nyau wangejifunza kwa Musiba Leo anaishi kama digidigi,au wamuulize Doto alikuwepo eneo la tukio
 
Kupitia kwenye ukurasa wao wa Instagram, Radio ya EFM imepost video inayoashiria kuwa ni kejeli kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo.

Kwenye video hiyo iliyopewa Title "Subiri pajae ndio upige picha" wanaonekana watu wanaandamana halafu anatokea mwandishi wanamzonga asipige picha mpaka watu wajae.

Kwa upande mwengine kwenye hiyo video wanaonekana waandamanaji wakitumia neno "Watu" kama ilivyo kwa CHADEMA "People".

Kama ni mfuatiliaji wa Maandamano yanayofanywa na CHADEMA utakumbuka kuwa kulikuwa na waandishi wanaopiga picha zenye uchache wa waandamanaji hali iliyopelekea wanachadema kulalamika kuwa ni hujuma zinafanywa na sio kweli.

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️

Yale sio maandamano, ni jogging.
 
Hao efm ni wapumbavu tu. Kwakifupi asilimia kubwa ya media zote ni za mifukoni mwa wana ccm, hupaswi hata kuzipa muda wao kukuhabarisha mambonya msingi ya mchi hii. They never credible source of information
 
Yale sio maandamano, ni jogging.
Hata kama ingekua jogging wala sio shida kama kuna agenda ya maana ambayo unaona kabisa watu wameisimamia kwa hoja na sio hoja tu bali pia njia mbadala za kuishinikiza serikali iwajibike kwenye hoja hisika inazolalamukiwa.

Hapa ndipo mimi nilikata tamaa na chadema hii ya sasa, kabisa unaishindwa kuielewa. Haina nguvu tena kama zamani na hii yote ni sababu imeji compromise hapo katikat imejivuruga vuriga kias kwamba ni ngum sana kuwashawishi wenye akili zao anymore.
 
Back
Top Bottom