EFM walimualika Makonda ili wamdhalilishe?

Mbona kuna uzi humu ndani unaeleza kuwa jamaa aliongea fresh tu na watu wakamshangilia mkuu wetu wa mkoa,
Le mutuz pia alipost insta,
Wewe hii umeitoa wapi.

_Hasta la vista_
Video inajieleza mkuu!
 
Kusoma hujui na picha huoni? Hiyo video hapo juu wanamshangilia eh?
 
Adui wa adui yako ni rafiki ako,komaa concert itapigiwa chapuo ipambane Fiesta kwa kila namna,E-fm na Albaaaty Dawood Bashakhaety wamekua marafiki tena wa kupika na kupakua.
Kumbe, kina kitenge wamebaki na aibu zao
 
Mimi niliangalia hili tamasha live hakuna sehemu makonda amezomewa zaidi ya kushangiliwa..
Hata kwenye hii Clip hakuna sehemu watu wamemzomea zaidi ya kumshangilia..........
Unamuongelea nani ?? Makonda au daudi bashite??
 
Ukawa nongwa zao haziishi, wewe mtu anaita press conference ili adai report ya makinikia ! .....sijui ana ubia na acacia !?
 
Mimi niliangalia hili tamasha live hakuna sehemu makonda amezomewa zaidi ya kushangiliwa..
Hata kwenye hii Clip hakuna sehemu watu wamemzomea zaidi ya kumshangilia..........
Ukawa ni wavuta gundi, wanashinda wakitembea nayo !
 
Na hatutoacha kumzomea .

Hapa tunamlia taiming hako kibichwa kingine kinachojifanya ni Mungu mtu

Me ipenda hii, hata mm nilikiwepo kwenye show tulimzomea balaaaaa sema macamera man na wapambe wake walikwepesha na kukata sauti . Watu tumeenda kustarehe jitu linatuletea mambo ya sizonje hoyeee sijui akajua ndo ile mikutano yao ya wana twaweza .

Na tunamsubiri kwenye nyamachoma leaders inaandaliwa na efm najua Ikibindankoi hawezi kosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…