Nasikia anatoa jichoHii clip haionyeshi kazomewa wapi, hawa wazee wa kupika utawaweza. Jinsi wanavyohangaika kuchafua, mbona zingesambazwa clip nyingi tu. Au hushangai kwa nini clip ni fupi sana! Nini kinafichwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia anatoa jichoHii clip haionyeshi kazomewa wapi, hawa wazee wa kupika utawaweza. Jinsi wanavyohangaika kuchafua, mbona zingesambazwa clip nyingi tu. Au hushangai kwa nini clip ni fupi sana! Nini kinafichwa?
Bashite mwenyewe hana fact acha wamkomesheWengi wanafata mkumbo,sawa jamaa anamapungufu ila mi yananikela majitu unakuta linamtukana hta social network bila facts,limeona mwenzie kafanya hvo nalo linaiga[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Video inajieleza mkuu!Mbona kuna uzi humu ndani unaeleza kuwa jamaa aliongea fresh tu na watu wakamshangilia mkuu wetu wa mkoa,
Le mutuz pia alipost insta,
Wewe hii umeitoa wapi.
_Hasta la vista_
Kusoma hujui na picha huoni? Hiyo video hapo juu wanamshangilia eh?sio kweli mimi niliona ile show ilirushwa live na tve hapakuwa na hizo habari za kuzomeana . jamani itafika wakati sasa tutakuwa hatuwaamini kama mnatengeneza uwongo wa bei nafuu.. show ilikuwa jumamosi tena live alafu habari za kuzomeana zinaibuliwa jumatano ....
wewe ndiyo nikuulize mimi nimeona wanashangilia....Kusoma hujui na picha huoni? Hiyo video hapo juu wanamshangilia eh?
Kumbe, kina kitenge wamebaki na aibu zaoAdui wa adui yako ni rafiki ako,komaa concert itapigiwa chapuo ipambane Fiesta kwa kila namna,E-fm na Albaaaty Dawood Bashakhaety wamekua marafiki tena wa kupika na kupakua.
Sawa!wewe ndiyo nikuulize mimi nimeona wanashangilia....
Na hatutoacha kumzomea .Wengi wanafata mkumbo,sawa jamaa anamapungufu ila mi yananikela majitu unakuta linamtukana hta social network bila facts,limeona mwenzie kafanya hvo nalo linaiga[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukawa ni kama mama wa kufikia ! Noma sana !
Unamuongelea nani ?? Makonda au daudi bashite??Mimi niliangalia hili tamasha live hakuna sehemu makonda amezomewa zaidi ya kushangiliwa..
Hata kwenye hii Clip hakuna sehemu watu wamemzomea zaidi ya kumshangilia..........
Ukawa nongwa zao haziishi, wewe mtu anaita press conference ili adai report ya makinikia ! .....sijui ana ubia na acacia !?sio kweli mimi niliona ile show ilirushwa live na tve hapakuwa na hizo habari za kuzomeana . jamani itafika wakati sasa tutakuwa hatuwaamini kama mnatengeneza uwongo wa bei nafuu.. show ilikuwa jumamosi tena live alafu habari za kuzomeana zinaibuliwa jumatano ....
Ukawa ni wavuta gundi, wanashinda wakitembea nayo !Mimi niliangalia hili tamasha live hakuna sehemu makonda amezomewa zaidi ya kushangiliwa..
Hata kwenye hii Clip hakuna sehemu watu wamemzomea zaidi ya kumshangilia..........
Na hatutoacha kumzomea .
Hapa tunamlia taiming hako kibichwa kingine kinachojifanya ni Mungu mtu
......zungusha mikono zungusha mikono....pipooo.....! Nyumbu wakajibu....!Kusoma hujui na picha huoni? Hiyo video hapo juu wanamshangilia eh?
Hukuyaona machozi ya mwenyekiti analilia apelekewe mzigo KIA !?vipi hakumwaga machozi jukwaani?!