EFM walimualika Makonda ili wamdhalilishe?

Nilikuwepo Leaders sana tuu alivyosema ******** kila mtu akamzomea naona watu wa kamera walikwepesha ndio akasema karibu Snura tena kwa aibu nusu arushiwe na chup tupu za maji
 
Imechakachuliwa hiyo eeeeh... acheni wivu

Jaribuni mengine kwasababu walitamka aliyotamka
 
Mahaba Niue unipondeponde kama nyanya!

Eeeeeh

Si nilisikia live na ndio maana nimeyaandika... wengi walijaa wivuuuuuuuuu haswa baada ya kuona watu walimsikiliza kwa umakini kabisaaa... hadi raha.
 
Magufuli sasa alikujaje hapo...!???
 
Inamaana intelijensia yake haikulifahamu hili kabla?
 
Kumbe ulikuwa unaangalia kwenye tv ungekuwepo live je? Kakojoe ulale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na awe mkuu wa mkoa au kiongozi kwa maisha yake Aminaaaa

Chura bin Zigo kwanza mengine baadaye
 
Ivi kwenye show kama hiyo habari ya kumshukuru Mungu kwa kupewa Magufuli vina uhusiano gani?uyu jamaa kweli hayuko sawa hata hajui lipi litamkwe wapi na wakati gani naona hapo kataka mwenyewe kuzomewa na sio E-fm.
Viongozi wengi awamu hii hawajui kuongea kulingana na tukio husika!

Wewe haukuyaona maajabu katika mazishi ya mke wa Mwakyembe? Hadi mchungaji mwenyewe baada atoe maneno ya kufariji wafiwa akaanza kupiga siasa.. Hivi kwenye msiba kweli mtu anazungumzia wapinzani?

Tabia ya kujipendekeza ni ugonjwa mbaya sana, kila mtu anapopata wasaa anataka amsifie JPM kwasababu wameshajua nini anapenda.
 
Haya mkono mmoja juu, mkono mmoja juu...... Aaaaaaah aaaaaaaa hatutakiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…