miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
nguvu ya uma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha......zungusha mikono zungusha mikono....pipooo.....! Nyumbu wakajibu....!
Mahaba Niue unipondeponde kama nyanya!Imechakachuliwa hiyo eeeeh... acheni wivu
Jaribuni mengine kwasababu walitamka aliyotamka
Kumbe❕❕Wengi wanafata mkumbo,sawa jamaa anamapungufu ila mi yananikela majitu unakuta linamtukana hta social network bila facts,limeona mwenzie kafanya hvo nalo linaiga[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahaba Niue unipondeponde kama nyanya!
Kumbe ulikuwa unaangalia kwenye tv ungekuwepo live je? Kakojoe ulalesio kweli mimi niliona ile show ilirushwa live na tve hapakuwa na hizo habari za kuzomeana . jamani itafika wakati sasa tutakuwa hatuwaamini kama mnatengeneza uwongo wa bei nafuu.. show ilikuwa jumamosi tena live alafu habari za kuzomeana zinaibuliwa jumatano ....
Viongozi wengi awamu hii hawajui kuongea kulingana na tukio husika!Ivi kwenye show kama hiyo habari ya kumshukuru Mungu kwa kupewa Magufuli vina uhusiano gani?uyu jamaa kweli hayuko sawa hata hajui lipi litamkwe wapi na wakati gani naona hapo kataka mwenyewe kuzomewa na sio E-fm.