EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

Sasa hao EFM wanaweza prove kwamba kitendo cha jamaa kufanya hivyo wanaweza pata hasara ya milioni 220? kweli...
 
Mkuu napata picha haujawahi kufanya biashara na watu wenye uelewa mdogo sana wa vitu, kati ya vitu watu huwa wanavipuuzia ni mikataba kwanza hua hawasomi pili hufanya maamuzi bila.kufikiria baadae ndo wanakuja kustuka kwamba wamekosea tena vitu vilivyokwenye maandishi Tanzania ni shida sana maana illiteracy ni kubwa sana kuliko unavyofikiria...
 
Kwanza nimefurahi kumjua pj hata kwa picha, pili amefanya nimdhalau sana, tatu amejivunjia heshima.

Nne :HUO MCHEZO ALIOCHEZA HAUHITAJI HASIRA.
 
Kama alijiondokea tu kama anatoka chooni kazi anayo. Halafu sio uungwana, clouds walipomtema alikuwa hana uhakika tena Wa ajira, e FM wamempa ajira ni vyema angekaa nao chini aone anaondoka vipi.
 
wanasuluhishwa kesi haipo mahakamani,kuna uwezekano huyo jamaa akatakiwa afanye kazi mpk mkataba uishe
 
Alitakiwa atoe notification ya mwezi au alipe mshahara wa mwezi nadhani mikataba mingi ipo hivi..
Mbali na Kutoa Mshahara wa mwezi kutakuwa na terms nyingine ambazo zipo kwenye mikataba ya kazi kwamba lazima utumike kwa kipindi flani ukiacha kabla ya kipindi hiko kuna fedha lazima ulipe,we si unakumbuka walisafiri san kwenda uk,USA kwa fedha za Efm?
 
Nachojua PJ ni msomi .....ilikuwaje akashindwa kutambua masharti ya mkataba wake wa awali akiwa E-FM.....!? Hili ni funzo kwa waajiliwa wengine.....maana 200M kwa wakati huu si mchezo......
Msomi wa nini?,clouds kuna watangazaji wasomi?
 
Hivi Clouds anafanya nini zaidi ya kusoma vichwa vya habari magazetuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…