EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

Afu nyie wanasheria wa sikuhizi mkoje??kwanini amtunzi siri za clients kwenu.!?
mashtaka hayafichwi bana.........yanakuwaga wazi ndo maana mtu anapopandishwa mahakaman utasoma had kwenye vyombo vya habar kuhusu mashtaka yake au hyo paper ndio imekustua.......
 
Kada mwezako wa ccm huyo, mwambie sendeka aokoe jahazi

Sijui nini kinawapata watangazaji wetu? hivi kweli Pj alikuwa hafahamu kuwa kuvunja mkataba kuna taratibu zake kweli? nimesikitika sana kama kweli mtangazaji ana kurupuka tuu bila kuangalia au kusoma vipengele vya mikataba yake na mwajiri wake.

Pengine aliona kuna kipengele kinacho mruhusu kuvunja mkataba nakufanya hivyo...pengine.
Ni kweli Clouds hawakujua hilo?
Hata hivyo madai yamepelekwa kwa baraza la usuluhishi na si mahakamani.
 
acha washitakiwe wamezidi kuyumbishwa na hao Clouds, hata hawajui wanataka nini. Ruge atamlipia...
 
What a coincidence! Leo leo zinatoka habari za EFM kupika data kuonesha kwamba ndio wana wasikilizaji wengi zaidi na leo leo tunapata taarifa za EFM kumburuza PJ Tume ya Upatanishi...!!!

Ni DAMAGE CONTROL, au?!

EFM ndio wanamlalamikia PJ na kwa mujibu wa hiyo samanzi ambayo hata hivyo haipo fully completed; hiyo shughuli imefanyika jana na kwa inavyoonekana ni kwamba hiyo haiwezi kuwa copy ya mlalamikiwa! Sasa ilikuwaje Bongo5 wakapata hiyo samanzi kiasi cha kutoa habari husika kwenye blog yao?

By the way, tangu lini na ni dunia ya wapi mtu kuacha kazi with 24 hours notice imekuwa ni big issue kiasi cha kudai mamilioni ya pesa? Few hours ago nimezungumzia suala la EFM na siasa kwenye shughuli zao...!! Siasa zilianzia kwenye kuvumisha kwamba EFM ni radio ya Jide hadi kwenye kupika data! Na huu nao ni mwendelezo wa siasa! Sijawahi kuona mkataba wa kazi unaokuwa sawa na mkataba wa biashara...

Samahani ndugu kama nitakukwaza, nimejaribu kusom ulichoandika mara nyingi sijaambulia chochote.
Naomba unielekeze vizuri juu ya ulichoandika.
 
Samahani ndugu kama nitakukwaza, nimejaribu kusom ulichoandika mara nyingi sijaambulia chochote.
Naomba unielekeze vizuri juu ya ulichoandika.
Mnh! Wapi hapajaeleweka?!
 
Sijui nini kinawapata watangazaji wetu? hivi kweli Pj alikuwa hafahamu kuwa kuvunja mkataba kuna taratibu zake kweli? nimesikitika sana kama kweli mtangazaji ana kurupuka tuu bila kuangalia au kusoma vipengele vya mikataba yake na mwajiri wake.

Pengine aliona kuna kipengele kinacho mruhusu kuvunja mkataba nakufanya hivyo...pengine.
Ni kweli Clouds hawakujua hilo?
Hata hivyo madai yamepelekwa kwa baraza la usuluhishi na si mahakamani.
Naona tushahukumu tayari. Inawezekana kabisa PJ anafahamu alichofanya na hakukurupuka. Mnataka kusema hizo clause za "sheria na mahusiano kazini" zimebadirika siku hizi. Na kile kifungu kuwa - unaweza kuacha kazi ndani ya masaa 24 na kulipa mshahara wa mwezi mmoja ama kufanya kazi kwa mwezi mmoja bure.

Take my words, PJ anashinda hii kesi na EFM wanaweza kumlipa PJ kwa kumchafua.
 
Yule phillip aliekuwa anasoma magazeti alihamishiwa wapi mi nlikuwa nampenda kweli
 
Chama cha mapinduuuuu (CCM) watalipa hiyo pesa kama sio kumuonga mtu wa arbitration
 
safi sana,
na iwe fundisho kwa wengine.

Hapo sasa ngoma mnogile,,,

Duuhhh mill 200 parefu sana

N bad wamnyooshe

ruge atamlipia

Analeta ujanja ujanja kwenye kazi

Mh atazitoa wapi na magogoni hawamjui

Huku unataka na kule unataka, Paul acha tamaa Mwambie Mjomba wako Ruge akulipie hizo 200M

Take my words, hakuna kesi hapo, sheria za kazi na mahusiano kazini rafiki sana kwa mtumishi.

Sheria za kazi sio sheria ya ndoa "kikristo" kwamba ndoa haivunjiki mpaka uwe umezini au sheria za mikataba.

Ninachoona hapo PJ ndio anaweza kulipwa na EFM.
 
Nachojua PJ ni msomi .....ilikuwaje akashindwa kutambua masharti ya mkataba wake wa awali akiwa E-FM.....!? Hili ni funzo kwa waajiliwa wengine.....maana 200M kwa wakati huu si mchezo......
Cv yake kwanza tuione ndio utueleze ni msomi sio mikurupuko tu et ni msomi!!!
 
Mkataba wa kazi hauna hizo complications. Kama ukiacha kazi ndani ya 24hrs unapaswa kulipa msharaha wa mwezi kwa mwajiri wako. Kwa taarifa yenu sheria za kazi hapa Tanzania ninambeba sana mfanyakazi na kipengele kilichokinyume cha sheria za kazi kinampa favour mfanyakazi na kama hicho kipengele kipo kinyume cha sheria za kazi lakini ni favour kwa mfanyakazi inakuwa upande wa mfanyakazi. PJ hana kesi ya maana ya kujibu na pengine wengi humu mnajadili bila ushahidi wa kujua kati ya PJ na EFM nani alianza kuvunja masharti ya mkataba. Pengine PJ alimalizia tu .....tuache kujadili issues kwa ushabiki badala ya kuwa objective.
 
sasa wewe mwenyewe unatuambia pengine ina maana huna unachojua why unatusema wenzako?au na wewe ni 1/4
 
Back
Top Bottom