What a coincidence! Leo leo zinatoka habari za EFM kupika data kuonesha kwamba ndio wana wasikilizaji wengi zaidi na leo leo tunapata taarifa za EFM kumburuza PJ Tume ya Upatanishi...!!!
Ni DAMAGE CONTROL, au?!
EFM ndio wanamlalamikia PJ na kwa mujibu wa hiyo samanzi ambayo hata hivyo haipo fully completed; hiyo shughuli imefanyika jana na kwa inavyoonekana ni kwamba hiyo haiwezi kuwa copy ya mlalamikiwa! Sasa ilikuwaje Bongo5 wakapata hiyo samanzi kiasi cha kutoa habari husika kwenye blog yao?
By the way, tangu lini na ni dunia ya wapi mtu kuacha kazi with 24 hours notice imekuwa ni big issue kiasi cha kudai mamilioni ya pesa? Few hours ago nimezungumzia suala la EFM na siasa kwenye shughuli zao...!! Siasa zilianzia kwenye kuvumisha kwamba EFM ni radio ya Jide hadi kwenye kupika data! Na huu nao ni mwendelezo wa siasa! Sijawahi kuona mkataba wa kazi unaokuwa sawa na mkataba wa biashara...