EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

Kama atashindwa kesi Clouds inaweza ikamlipia sawa lakin anaweza akapewa kama mkopo, ATAZEEKEZA HAPO CLOUDS KWA KULIPA DENI, Na iwe fundisho watanzania tuwe tunaheshimu mikataba ya kazi na sio kurukaruka.
 
Alitakiwa atoe notification ya mwezi au alipe mshahara wa mwezi nadhani mikataba mingi ipo hivi..
Yes..unamnotify employer ndani ya mwezi mmoja eidha ufanye bure mwezi au uresign 24 hrs kwa kuwalipa mshahara wako wa mwezi mmoja!

Hata hili limemshinda kulijua??
 
Afu nyie wanasheria wa sikuhizi mkoje??kwanini amtunzi siri za clients kwenu.!?
Hilo nalo neno kiongozi, vitu kama hivi ni siri za mteja na wakili wake, lakini siku hizi kila kitu watu wanataka waweke hadharani. so bad.
 
Kumbe huyu ndio PJ!? mbona kesha anza kuusoma uzee sasa kwa nini hawezi kuwa na busara? Imekula kwake na sasa hatakuwa na mbwembwe tena ya kazi na mwisho wa siku clouds nao watamtimua kwa kuwa hataweza kuwa PJ yule wa ujana wake.. hapo sasa iwe funzo kwa wengine.
 
Mbona km sayansi ni ya mediation ?
 
namfahmu ubrain wake hauwezi kuwa ulitenda kimakusudi naisi kuna jambo lilitokea pale hasingeweza kuvunja mkataba pia nina isi labda alikuwa nduki, akakosea ofisi akajikuta ameingia clouse badala ya efm, jaman! tusimlaumu sana yawezekana alikuwmasaga akakosea mlango akaingia wa clouse badala wa efm , zikiisha kichwani atarudi futeni kesi ya kijinga.
 
kwanza alichofanya ni zarau sana,mbona wakati anatoka clauds alisubiri mkataba uishe?narudia tena mil 200 ndogo,napendekeza iwe mil 500
Mikataba ya ajira unampiga chini mwajiri kwa notisi ya mwezi mmoja tu.Labda km alikuwa anamlipa mshahara wa milioni mia 2 ndo atamfidia hiyo kwa niaba ya notisi.
 
Hapa watu wanaargue kihorera mkuu.Hauwezi kumfunga mfanyakazi kwa mashariti ya ovyo.Mwajiri anapewa notisi ya mwezi mmoja au mshahara wa mwezi na mkataba unachanwa hapohapo.labda km hizo ml 20000000 ilikopeshwa au km ndo ulikuwa mshahara wake
 
Mi ninachojua inatakiwa awalipe efm mshahara wake wa mwezi mmoja
 
Hakuna utaratibu wa kumlazimisha mfanyakazi kiivyo.Mkataba wa kazi upo direct
 
Yes..unamnotify employer ndani ya mwezi mmoja eidha ufanye bure mwezi au uresign 24 hrs kwa kuwalipa mshahara wako wa mwezi mmoja!

Hata hili limemshinda kulijua??
Hakuna kufanya bure mkuu.Huo mwezi wa notisi unalipwa km kawa.
 
Bado nashindwa kuelewa kama kweli pj kafanya hivyo. pengine e-fm wangekwenda mbali zaidi kwa kuweka zuio la yeye kutangaza hadi hapo case ya msingi itakapo sikilizwa. labda kuna kipengele kilikuwa kinampa mwanya yeye kuvunja mkataba kwa mazingira aliyfanya,pengine PJ ameusoma mkataba vizuri kuliko uongozi wa E-fM.
 
Kwani huyo Pj alikua akilipwa sh ngapi kwa mwezi.....? Ok let's say millioni mbili sheria ya kazi inataka mfanyakazi kutoa notice ya siku 30 lakini Kama atatoa a 24 notice amlipe Bos wake mshara wa mwezi mmoja sasa hawa Efm wanataka kulipwa millioni 200 ni Ngumu sheria haipo kumtajirisha mtu Bali kumfanya mtu arudie katika Hali yake baada ya kuacha kazi katika Hali ya mshuto (24)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…