Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes..unamnotify employer ndani ya mwezi mmoja eidha ufanye bure mwezi au uresign 24 hrs kwa kuwalipa mshahara wako wa mwezi mmoja!Alitakiwa atoe notification ya mwezi au alipe mshahara wa mwezi nadhani mikataba mingi ipo hivi..
wakati anahama kiholela alijificha kwan?Afu nyie wanasheria wa sikuhizi mkoje??kwanini amtunzi siri za clients kwenu.!?
PESA YA KULEEEE BADO IPO HATA KAMA HAWAALIKWI TENAruge atamlipia
Hilo nalo neno kiongozi, vitu kama hivi ni siri za mteja na wakili wake, lakini siku hizi kila kitu watu wanataka waweke hadharani. so bad.Afu nyie wanasheria wa sikuhizi mkoje??kwanini amtunzi siri za clients kwenu.!?
yeah, akiomba uwe civil prisoner lazima akulipieUkishindwa kulipa mdai Wako anakulipia matunzo gerezani
Mbona km sayansi ni ya mediation ?![]()
![]()
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James aka PJ ameshtakiwa mahakamani na kituo cha redio cha EFM kwa kuvunja mkataba kinyemela
Mtangazaji huyo aliondoka EFM mwanzoni mwa mwezi huu na kurejea kwenye kituo chake cha zamani, Clouds FM, alichoondoka pamoja na mwenzake Gerald Hando. EFM imefungua mashtaka katika mahakama ya kazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kukiuka mkataba wa kazi wa kituo hicho.
Kufuatia mashtaka hayo, EFM inadai fidia ya shilingi milioni 200 kutoka kwa mtangazaji huyo.
Inadai PJ alikatisha mkataba kiholela na kurudi tena Clouds FM bila kufuata makubaliano pamoja na sheria alizokubaliana nazo katika mkataba wake pale alipojiunga nacho.
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa November 23, 2016 katika mahakama ya kazi jijini Dar es Salaam.
Chanzo: Bongo5
Mikataba ya ajira unampiga chini mwajiri kwa notisi ya mwezi mmoja tu.Labda km alikuwa anamlipa mshahara wa milioni mia 2 ndo atamfidia hiyo kwa niaba ya notisi.kwanza alichofanya ni zarau sana,mbona wakati anatoka clauds alisubiri mkataba uishe?narudia tena mil 200 ndogo,napendekeza iwe mil 500
Hapa watu wanaargue kihorera mkuu.Hauwezi kumfunga mfanyakazi kwa mashariti ya ovyo.Mwajiri anapewa notisi ya mwezi mmoja au mshahara wa mwezi na mkataba unachanwa hapohapo.labda km hizo ml 20000000 ilikopeshwa au km ndo ulikuwa mshahara wakeWhat a coincidence! Leo leo zinatoka habari za EFM kupika data kuonesha kwamba ndio wana wasikilizaji wengi zaidi na leo leo tunapata taarifa za EFM kumburuza PJ Tume ya Upatanishi...!!!
Ni DAMAGE CONTROL, au?!
EFM ndio wanamlalamikia PJ na kwa mujibu wa hiyo samanzi ambayo hata hivyo haipo fully completed; hiyo shughuli imefanyika jana na kwa inavyoonekana ni kwamba hiyo haiwezi kuwa copy ya mlalamikiwa! Sasa ilikuwaje Bongo5 wakapata hiyo samanzi kiasi cha kutoa habari husika kwenye blog yao?
By the way, tangu lini na ni dunia ya wapi mtu kuacha kazi with 24 hours notice imekuwa ni big issue kiasi cha kudai mamilioni ya pesa? Few hours ago nimezungumzia suala la EFM na siasa kwenye shughuli zao...!! Siasa zilianzia kwenye kuvumisha kwamba EFM ni radio ya Jide hadi kwenye kupika data! Na huu nao ni mwendelezo wa siasa! Sijawahi kuona mkataba wa kazi unaokuwa sawa na mkataba wa biashara...
Hakuna utaratibu wa kumlazimisha mfanyakazi kiivyo.Mkataba wa kazi upo directMbali na Kutoa Mshahara wa mwezi kutakuwa na terms nyingine ambazo zipo kwenye mikataba ya kazi kwamba lazima utumike kwa kipindi flani ukiacha kabla ya kipindi hiko kuna fedha lazima ulipe,we si unakumbuka walisafiri san kwenda uk,USA kwa fedha za Efm?
Hakuna kufanya bure mkuu.Huo mwezi wa notisi unalipwa km kawa.Yes..unamnotify employer ndani ya mwezi mmoja eidha ufanye bure mwezi au uresign 24 hrs kwa kuwalipa mshahara wako wa mwezi mmoja!
Hata hili limemshinda kulijua??
Bado nashindwa kuelewa kama kweli pj kafanya hivyo. pengine e-fm wangekwenda mbali zaidi kwa kuweka zuio la yeye kutangaza hadi hapo case ya msingi itakapo sikilizwa. labda kuna kipengele kilikuwa kinampa mwanya yeye kuvunja mkataba kwa mazingira aliyfanya,pengine PJ ameusoma mkataba vizuri kuliko uongozi wa E-fM.Mkuu napata picha haujawahi kufanya biashara na watu wenye uelewa mdogo sana wa vitu, kati ya vitu watu huwa wanavipuuzia ni mikataba kwanza hua hawasomi pili hufanya maamuzi bila.kufikiria baadae ndo wanakuja kustuka kwamba wamekosea tena vitu vilivyokwenye maandishi Tanzania ni shida sana maana illiteracy ni kubwa sana kuliko unavyofikiria...