hiyo anaeza akawa nayo mbna mnamzarau sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hata wangesema mil. 10 tu sidhani kama anayo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ohooo kalizua!!!
Halafu kuna watu wanataka Magufuli avunje mikataba ya IPTL, Madini na Mafuta etc.... Yatawagharimu kama haya zaidi ya haya muwe wapole!!
Mwacheni huyo mbwiga aswekwe ndani akili imrudi 200mil