EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

Kwavile kaenda radio ya makada msitegemee kama kutakuwa na kesi hapo
 
Ukizingatia Imooooooo mpk mkulu leo kairusha imean Fiesta
 
Halafu kuna watu wanataka Magufuli avunje mikataba ya IPTL, Madini na Mafuta etc.... Yatawagharimu kama haya zaidi ya haya muwe wapole!!


Mwacheni huyo mbwiga aswekwe ndani akili imrudi 200mil

Mkuu Jambazi,
Mosi, Mikataba ya nchi siyo kama mikataba ya kazi, japo inaringana sifa za ujumla.
Pili, Mikataba mingi kama IPTL, Mafuta na Madini siyo halali na inanuka rushwa.
Tatu, Kila mtu anaruhusiwa kuvunja mkataba muda wowote anaoutaka kama tu anaona haimnufaishi hasahasa hii mikataba ya kimataifa na kibiashara.
 
Back
Top Bottom