EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, yadai fidia ya shilingi milioni 200

Tunakufungulia dunia,unalipwa unachotaka.
 
Haya mambo huwa si vyema kuchagua upande, unless umesoma mkataba wao na unaijua sheria vyema. Unaweza kuta katika makubaliano yao, kuna kakipengele kadogo tu na kasikokuwa na madhara pia jamaa hawakukitimiza, kesi ikafa au kurudi kwao. Akipata mwanasheria mzuri, anaweza chomoka.
 
PJ alirudi Clouds kwa sababu alijikuta amekuwa Mwana mkiwa pale EFM.

Kama Edo alivyoondoka na yule Jamaa akamfuata, matokeo yake akaambiwa akagombee uenyekiti Pwani....juzi amesikika analia 'huku kugumu kweli' na ni ishara tosha kuwa angetamani kurudi kule kwenye nafuu.

Funzo tupatalo hapa ni kuwa tuache kufuata mkumbo...na EFM waache uchimvi na kutaka sifa, shida ya ni Hando sio PJ.
 
[emoji100] [emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
What a coincidence! Leo leo zinatoka habari za EFM kupika data kuonesha kwamba ndio wana wasikilizaji wengi zaidi na leo leo tunapata taarifa za EFM kumburuza PJ Tume ya Upatanishi...!!!

Ni DAMAGE CONTROL, au?!

EFM ndio wanamlalamikia PJ na kwa mujibu wa hiyo samanzi ambayo hata hivyo haipo fully completed; hiyo shughuli imefanyika jana na kwa inavyoonekana ni kwamba hiyo haiwezi kuwa copy ya mlalamikiwa! Sasa ilikuwaje Bongo5 wakapata hiyo samanzi kiasi cha kutoa habari husika kwenye blog yao?

By the way, tangu lini na ni dunia ya wapi mtu kuacha kazi with 24 hours notice imekuwa ni big issue kiasi cha kudai mamilioni ya pesa? Few hours ago nimezungumzia suala la EFM na siasa kwenye shughuli zao...!! Siasa zilianzia kwenye kuvumisha kwamba EFM ni radio ya Jide hadi kwenye kupika data! Na huu nao ni mwendelezo wa siasa! Sijawahi kuona mkataba wa kazi unaokuwa sawa na mkataba wa biashara...
 
Hapo chachaaaa ngoma inogileeee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Utafiti umekamilika 4:1, sasa kama si wehu ni nini! Watu hamjasoma mkataba unasema je, hamjasikiliza upande, kuona summons tu tayari mmeshatoa hukumu! Tanzania kuendelea hadi hiki kizazi kiondoke kije kizazi ambacho kina logical reasoning siyo hiki kilichotawaliwa na hisia. Kuna vitu vingi nimegundua vinakosekana kwenye elimu yetu.
 
hawa nao wanabadlishana watangazaji.. mara yule kicheko mzee wa makelele nae kaend clouds wengne waliokua clouds kama hando yupo efm, huyu nae karud alipotoka//// wanaendeshwa na tamaa
 
Acheni kuwa majaji,ngoma iko kwa msuluhishi.msubiri muone mwisho wake.sio kukurupuka tu na hukumu za mioyoni mwenu..
 
Back
Top Bottom