EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Mbona humsemi yule aliyedhuru hadi kutoa nafsi za watu kwa kosa kama hili? Unamkumbuka Magufuli tu.
 
Nimemtizama na kumsikiliza Hando sijaona kosa lolote ameongea ukweli mtupu na ndo hali halisi
 
Husiwe muongo huo Ni mifumo WA inzi WA kijani, kumbuka ya ulimboka na wengine sema wewe Ni mtoto mdogo huwezi kumbuka.
 
Yule ameropoka kwenye media, attention ni kubwa
Ni uonevu tu wa kishamba, sikuhizi hata ukisema kauli kama raisi wa nchi hii ni mama mtu mzima afaa kuitwa bibi utashangaa wamekushukia eti umemchafua raisi. 🤣🤣🤣

Yes you have freedom of speech but i am not sure of your freedom after speech~Idd Amin
 
Tunarudi kuleeeee😀😀
 
Nyie ni wale wajinga wa ccm mnapenda tu kusifiwa na sio kukosolewa.

Huyo huyo Hando nilishamsikia kwenye kipindi hiko hiko miezi kadhaa iliyopita akisema "Nchi kwa kweli imefunguka hivi sasa". Akipongeza hatua za huyo bibi yenu. Leo kukosoa imekuwa nongwa!
Mwambieni huyo bibi yenu kama hataki kukosolewa aachie madaraka akaendesha familia yake. Hii nchi ni ya WaTZ wote sio mali ya urithi toka kwa baba yake.
 
Ni muda muafaka Sasa media industry ikaondoa majitu mahuni, huyu arudi pale Masai pub akapige miziki
 
Magufuli hakutaka unafiki. Kama kuiba uchaguzi naiba waziwazi.
 
Jamaa inaonekana kapiga kwenye mshono.

Na kwanini Bi Tozo na wapambe wake wakiambiwa kukopa wanakuwa wakali sana.

Hiyo inaonyesha kuna shida kubwa sana hazina ndio maana wako too sensitive watu wakiongelea deni la taifa. .

Hapa panashida sana mtu akigusa mikopo wanakua wakali sana
 
Mkuu Satoh je unamjua mtu mmoja wa kuitwa DR Ulimboka!!? Huyo Ulimboka yalimpata ya kumpata kipindi cha JK!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…