Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wote tunafahamu kuhusu Timbwili la Haki ya kutoa maoni lililoletwa na Mtangazaji wa EFM, Gerald Hando, hakuna haja ya kurudia kuleta tena hapa, Na kwamba Waajiri wake ambao ni EFM wametoa taarifa kwamba tayari Mzalendo Hando amechukuliwa Hatua.
Sasa swali letu ni dogo tu, NI HATUA GANI AMBAZO HANDO AMECHUKULIWA? Amefutwa kazi, amesimamishwa kazi, amepigwa faini, amewekwa selo, ameshitakiwa, amesimamishiwa Mshahara wake au ni vipi?
Ni vema Maswali haya yakajibiwa ili jamii iwe na uhakika na Usalama wake, Tusije tukawa kimya kumbe Raia mwenzetu yuko mahali anateswa.