denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kumbe kuna baadhi ya taasisi nchi hii zipo juu ya sheria za nchi, ukizifanyia kazi hutakiwi kutoa maoni yako!Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..
The same goes Kwa CCM, Cuf etc...
Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Nonsense!.