EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..

The same goes Kwa CCM, Cuf etc...

Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Kumbe kuna baadhi ya taasisi nchi hii zipo juu ya sheria za nchi, ukizifanyia kazi hutakiwi kutoa maoni yako!

Nonsense!.
 
Majizo ni mlamba asali,ukikubali kuajiriwa ni sawa na kuolewa huna sauti mbele ya mumeo.
Akisema vua chupi chap unashusha kitu no discussion.
Hiyo ya yy kulamba asali yaweza kuwa yes..ila kuhusu wanawake kuvua Pichu kwa kuamrishwa hivyo, hao ni wanawake wa karine ipi??
 
That's right Mr The Boss...

Hii ndiyo kanuni muhimu katika maisha ya binadamu..

Kama hukubaliani (hampatani) na sera za mtu au rafiki yako fulani, toka nenda zako tafuta wenzako/rafiki mtakayepatana/endana naye...

Binafsi mimi huwa sishangai kabisa CCM au CHADEMA wanapofukuza wanachama wao (bila kujali hadhi zao) pale wanapoenda kinyume na sera na misimamo ya vyama vyao...

Unfortunately, baadhi yetu wengi hatuelewi hili..

Sasa Gerald Hando amekosea...

Mwajiri wake EFM na TVE bila shaka ni wale wa "anaupiga mwingi" kwa Samia na CCM yake. Kusema kinyume chake, ni kumkosea Mwajiri wake....

Alipaswa akasemee kule nje ili yawe maoni yake. Lakini kutumia kipaza sauti cha mwajiri wake, obviously ni ku - concur na sera na misimamo yake, lakini kumbe sivyo...!

NOTE: Kwa upande mwingine inawezekana hii ilikuwa ni njia ya kutafutia mlango wa kutoka happy...

Huyu si mjinga kusema hajui haya. Anajua fika afanyalo...!!
Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.

Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.

Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kutaka kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.

Nonsense.
 
Wote tunafahamu kuhusu Timbwili la Haki ya kutoa maoni lililoletwa na Mtangazaji wa EFM, Gerald Hando, hakuna haja ya kurudia kuleta tena hapa, Na kwamba Waajiri wake ambao ni EFM wametoa taarifa kwamba tayari Mzalendo Hando amechukuliwa Hatua.

Sasa swali letu ni dogo tu, NI HATUA GANI AMBAZO HANDO AMECHUKULIWA? Amefutwa kazi, amesimamishwa kazi, amepigwa faini, amewekwa selo, ameshitakiwa, amesimamishiwa Mshahara wake au ni vipi?

Ni vema Maswali haya yakajibiwa ili jamii iwe na uhakika na Usalama wake, Tusije tukawa kimya kumbe Raia mwenzetu yuko mahali anateswa.

View attachment 2465898
Hata stress anazopata zinamtosha, we will rain in him like hell
 
Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..

The same goes Kwa CCM, Cuf etc...

Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
Unadanganya watu hapa tunakuona.

Ni sheria gani ya ajira inayomkataza mfanyakazi kutoa maoni yake kuhusiana na maswala ya kisiasa nje na watumishi wa vyombo vya dola??
 
Naona hizo ndio zitakuwa "siri za ofisi" kati ya muajiri na muajiriwa, japo naamini zitakuwa miongoni mwa hizo ulizoorodhesha hapo juu.

Kile kitendo cha kumshughulikia Hando naamini kilichangiwa na safari aliyokuwa nayo Majizzo jana, kwenda Msoga kuwa dj kwenye shughuli ya kuukaribisha mwaka iliyofanyika nyumbani kwa Kikwete, ndio akaona "afukie mashimo" mapema.
Hando na wenzie wapelekwe shule wakasome na siyo kutegemea kufanya kazi kwa mazoea. Kwamba elimu ya Form IV na ujanja ujanja itakufanya uwe star news anchor siyo sawa.

Hamna namna Gerald anaweza kuongelea mambo ya mikopo, fedha na uwekezaji kama hana elimu ya kiwango cha Masters kwenye uchumi, fedha au biashara. Lazima uchomoe betri tu
 
Yaani, halafu anakuwa na conclusive remarks kama mtaalamu, wakati si mtaalamu wa uchumi, what kind of journalism is that?
 
Uhuru wake wa maoni afanye kwenye page yake binafsi ...sio kwenda kuongea vitu tofauti na misimamo ya Taasisi iliyokuajiri.....halafu ukifukuzwa kazi useme Uhuru wa kutoa maoni...
Ukifanya kazi media ambayo mmiliki wake ni Chadema ...maoni yako kupitia media hiyo lazima yaendane na misimamo rasmi ya hiyo media..

The same goes Kwa CCM, Cuf etc...

Hutaki Acha kazi ukaropoke popote kule
AKILI KUBWA
 
Hiyo ya yy kulamba asali yaweza kuwa yes..ila kuhusu wanawake kuvua Pichu kwa kuamrishwa hivyo, hao ni wanawake wa karine ipi??
Sasa mkeo anaanzaje kukataa kushusha chupi? Kwani wewe ni ndugu yake?
Ameolewa na wewe ili iweje?
Ukiona unamuambia mkeo avue chupi na yeye hataki jua wewe ndio umeolewa.
 
Hando na wenzie wapelekwe shule wakasome na siyo kutegemea kufanya kazi kwa mazoea. Kwamba elimu ya Form IV na ujanja ujanja itakufanya uwe star news anchor siyo sawa.

Hamna namna Gerald anaweza kuongelea mambo ya mikopo, fedha na uwekezaji kama hana elimu ya kiwango cha Masters kwenye uchumi, fedha au biashara. Lazima uchomoe betri tu
Kwa hiyo sisi tulioshia darasa la saba B hatupaswi kujadili mambo hayo ya madeni na uchumi?
Hao unaowaona ni wasomi wa masters ni fully useless zaidi ni kulamba asali na nyayo za watu.
 
Kumbe kuna baadhi ya taasisi nchi hii zipo juu ya sheria za nchi, ukizifanyia kazi hutakiwi kutoa maoni yako!

Nonsense!.
Kila taasisi Tanzania ina sera zake kuanzia Serikalini hadi vyama vya siasa that's why Zitto kabwe alifukuzwa Chadema na wengineo walifukuzwa CCM kama Membe na hata Serikalini wanakwambia kila staff lazima afuate sera ya Serikalini inataka nini inawezekana hujui au kama unajua unataka kuleta arguments za kipumbavu
 
Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.

Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya.kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.
Efm na tve ni biashara,na biashara haitakiwi kugombana na wanasiasa wenye mamlaka,hando Kama maoni yanamuwasha Sana alitakiwa ayatoe kweje kurasa zake au aanzishe media yake abwabwaje kutwa
 
Ndo tabu ya kuajiriwa na darasa la 7.
Km bosi wako anaamrishwa na kukufuta kibarua,iko siku ataambiwa abadili chanel na mkewe hataki kukuona na kesho akaja kukufuta kazi
 
Kwa hiyo sisi tulioshia darasa la saba B hatupaswi kujadili mambo hayo ya madeni na uchumi?
Hao unaowaona ni wasomi wa masters ni fully useless zaidi ni kulamba asali na nyayo za watu.
Hata aliyefika chuo na hakusoma uchumi na fedha hajui chochote kuhusu uchumi na mikopo
 
Tunachokichujua
Source 1
Source 2
Hando alitoa maoni yake tu kama raia wa kawaida wa nchi tena mlipa kodi.
Ila amini nakwambia, nyuma ya Hando kuna kundi kubwa la raia wa ndani na nje ya mfumo wanaounga mkono kauli yake.
Nchi inakopa sana hii na sisi ndio walipaji ingawa hata masharti ya mkopo hatuyajui.

Lakini inatokea mbuzi ya Lumumba hapa inajambajamba inasema hatuna elimu ya uchumi so tunyamaze.
Guys! matokeo hasi ya uchumi ulioharibiwa yanaonekana hata kwa asiye na elimu! pumbaf nyinyiem!
 
Hata aliyefika chuo na hakusoma uchumi na fedha hajui chochote kuhusu uchumi na mikopo
Ww nawe ni mlamba asali maana mna mbwembwe za kipigaji sana.!!!
Sisi tunaendelea kujadili kuwa mikopo ya ajabu tutakuja kuuzwa kama mbuzi.
 
Back
Top Bottom