denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Zitto alifukuzwa Chadema akakimbilia mahakamani bado akashindwa kesi, hiyo maana yake hakuonewa na Chadema.Kila taasisi Tanzania ina sera zake kuanzia Serikalini hadi vyama vya siasa that's why Zitto kabwe alifukuzwa Chadema na wengineo walifukuzwa CCM kama Membe na hata Serikalini wanakwambia kila staff lazima afuate sera ya Serikalini inataka nini inawezekana hujui au kama unajua unataka kuleta arguments za kipumbavu
Lakini kama Hando akienda mahakamani kupinga udhalimu aliofanyiwa na Majizzo nina uhakika atashinda hiyo kesi.