EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Kila taasisi Tanzania ina sera zake kuanzia Serikalini hadi vyama vya siasa that's why Zitto kabwe alifukuzwa Chadema na wengineo walifukuzwa CCM kama Membe na hata Serikalini wanakwambia kila staff lazima afuate sera ya Serikalini inataka nini inawezekana hujui au kama unajua unataka kuleta arguments za kipumbavu
Zitto alifukuzwa Chadema akakimbilia mahakamani bado akashindwa kesi, hiyo maana yake hakuonewa na Chadema.

Lakini kama Hando akienda mahakamani kupinga udhalimu aliofanyiwa na Majizzo nina uhakika atashinda hiyo kesi.
 
Efm na tve ni biashara,na biashara haitakiwi kugombana na wanasiasa wenye mamlaka,hando Kama maoni yanamuwasha Sana alitakiwa ayatoe kweje kurasa zake au aanzishe media yake abwabwaje kutwa
Kwani akitoa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ndio hawi mfanyakazi wa EFM?!

Kwa akili zenu mbovu, kuna Hando wawili tofauti, wa EFM, na wa twitter!.

Mental slavery.
 
Unadanganya watu hapa tunakuona.

Ni sheria gani ya ajira inayomkataza mfanyakazi kutoa maoni yake kuhusiana na maswala ya kisiasa nje na watumishi wa vyombo vya dola??
Akayatolee huko Masai Pub anakoleweaga, EFm ina heshima kubwa sana, wahuni wasiitumie vibaya
 
Ww nawe ni mlamba asali maana mna mbwembwe za kipigaji sana.!!!
Sisi tunaendelea kujadili kuwa mikopo ya ajabu tutakuja kuuzwa kama mbuzi.
Hujakatazwa,endelea kujadili vitu usivyovijua,ni kawaida kwa watz,kule Dom watafiti waliouawa na wanakijiji kwa kudaiwa ni mumiani(wanyonya damu)..hapo wajinga kabla ya kuua walijadili kwa kina na jazba wasiyoyajua
 
Wasomi wengi wa bongo ni usanii mtupu.
 
Itakua huna elimu,umejenga husda na wasomi,ukiumwa unaenda kwa hao wasomi wasanii
Husda ya nini jombaa..!!
Hata mm sio ngumbaru shule ipo ya kutosha ya ndani na nje ya Tz na sasa ni mstaafu nanyonya pensheni tu.

Ndio maana nimesema wasomi wengi wao ni empty set sio wote.
Nawe ni msomi empty set nini?
 
Umekutana wapi na wasomi wa nchi hii kwa wingi huo ukawafanyia tathmini!?
 
Kwa hiyo sisi tulioshia darasa la saba B hatupaswi kujadili mambo hayo ya madeni na uchumi?
Hao unaowaona ni wasomi wa masters ni fully useless zaidi ni kulamba asali na nyayo za watu.
Kama hujasoma wewe ishia vijiweni au kwenye daladala. Masuala ya kitaalamu siyo sawa na dera ambalo yeyote annavaa, awe na matako au hana
 
Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.

Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya.kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.

Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.
Hamna kitu kibaya kama colonisation of the mind.
 
Kama hujasoma wewe ishia vijiweni au kwenye daladala. Masuala ya kitaalamu siyo sawa na dera ambalo yeyote annavaa, awe na matako au hana
Sawa unajiona nawe upo kundi la wasomi?
Pole endelea kutafuta ugali wa wanao na ada na kodi ya nyumba.
 
Nani atakubali umletee matatizo kwenye biashara yake, nilijua ametumwa kumbe ni msimamo wake binafsi!
 
Kama kweli hushangai kwa ujinga uliofanywa na Majizzo, basi bado una mawazo ya kitumwa sana kichwani.

Hizi mentality zenu zinawaonesha vile bado mna mentality mgando zilizojaa mawazo ya kutawaliwa tu, kwenu mtu akifanya.kazi mahala fulani lazima awe na mawazo sawa na bosi wake, hata kama kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria za nchi.

Kwa huu ujinga wenu, mnachochea moto wa uvunjifu wa sheria, halafu ukikolea kwa wapinzani kunyimwa haki yao ya kufanya mikutano ya siasa, mnaanza kuhangaika kuuzima moto mliouwasha wenyewe!.
..Hando kavunja sheria gani ya nchi?
 
Hando na wenzie wapelekwe shule wakasome na siyo kutegemea kufanya kazi kwa mazoea. Kwamba elimu ya Form IV na ujanja ujanja itakufanya uwe star news anchor siyo sawa.

Hamna namna Gerald anaweza kuongelea mambo ya mikopo, fedha na uwekezaji kama hana elimu ya kiwango cha Masters kwenye uchumi, fedha au biashara. Lazima uchomoe betri tu
Change your Mindset kuhusu elimu. Unaweza kuwa na Masters au hata PhD na usiwe na uwezo wa kuzungumzia mambo kama huyo Hando. Alafu dunia ya sasa imebadilika sana..information is everywhere hivyo suala la mtu kuwa informed na mada mbalimbali ni juhudi tu na siyo kumiliki Vyeti vya Chuo. Bongo wapuuzi wengi na wapumbavu ni haohao wenye Masters
 
Back
Top Bottom