Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ilo naweza kukubaliana na wewe sasa wakati wao wanaficha makandokando yao alafu anatokea mtu anataka kuwaharibia si inabidi kumshughulikia
Unamshughulikia mtu ambaye hajafanya kosa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilo naweza kukubaliana na wewe sasa wakati wao wanaficha makandokando yao alafu anatokea mtu anataka kuwaharibia si inabidi kumshughulikia
Kosa ni hilo kutumia taasisi yangu kunifitinisha na ninao waaminiUnamshughulikia mtu ambaye hajafanya kosa!
Akuposti akuwa Msoga ameposti akiwa Msata wewe unajua Majizzo kwa wapi?
Kosa ni hilo kutumia taasisi yangu kunifitinisha na ninao waamini
Wimbo wa ccm ni ileile unahalalisha madhambi ya viongozi wawapo madarakani,ni kejeli dhidi ya uhuru na hatujasahau magufuli alivyokereka na ukosoaji kama ambavyo ssh anavyoendeleza.Huu ujinga wa kutaka kuyaficha makosa ya mama yenu kwa JPM, huku yale mazuri mkiplmpa mama yenu mwenyewe, si ujui unatoka wapi?
Kwenye utawala wa SSH tena yeye mwenyewe akiwa rais (karibia miaka miwili), unawezaje kuzitupa hizo lawama kwa JPM?
Kizuri kinafanywa cha SAMIA ila kibaya cha awamu hii kinageuzwa kuwa JPM?
Nape alisema kwa Sasa watadeal na mhadishi binafsi na sio tasisi kwa kauli hii usitegemee kuwepo kwa uhuru wa habari maana wote watalizimika kuandika kinachopendezwa na mamlaka matokeo yake ndo hayaKiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611
Kwa Nini hamjarudisha sasaUkosoaji na mawazo mbadala vilizikwa rasmi na jiwe.
Poor us.
Labdo Hando anataka Sa100 atoe hela yake ya mfukoni kujenga SGR, JNHEP, etc,Ni kweli siyo kila mwenye PhD au Masters anaweza kuongea eneo lolote bali eneo husika na fani yake. Kama huna shahada ya uchumi au fedha yeyote huwezi kuongea kwa uafasaha hoja za uchumi.
Nyie ambao hamjasoma ndiyo kabisa mnatupotezea muda bure kwa kuendelea kubishana badala ya kujifunza.
Bunge lilipitisha Bajeti ya Tsh 42 Trllioni yenye nakisi dhidi ya mapato ya Tsh 19 Trillion, je Gerald Hando anadhani nakisi itazibwa na nini?
Miradi mikubwa ya SGR, JNHEPP, Busisi na Makao Makuu Dodoma ndiyo vinakula sehemu kubwa ya mikopo
Mimi napenda ligi na wajinga ili kuwafundisha. Huwezi andika pumba nikakuvumilia, I will pursue you perpendicularlyUnapenda ligi?
Acha hizo aisee. !!
Nimekuja kwa hoja ya bajeti, makusanyo, nakisi na miradi mikubwa hujanijibu. Ila kwa kuwa Gushleviv ni mtoto wa malaya unachojua ni kuandika matusi tu uliyozoea kusikia kutoka kwa mama yako. Kama ungekuwa na baba usingeandika namna hiyo hapo juu Bali ungekuja kwa hojaNa wewe ni walewale tu "a functional illiterate" na degree yako uchwara. You can not think out of the books you were forced to read in school! Shame.
Ukiona mtu hana ujasiri ujue kuna madudu yake yanajulikana hivyo anabakia kujipendekeza tu. Gerard Hando unaweza kwenda Mahakamani kudai fidia ya adhabu utakayopewa maana ni kinyume na Katiba yetuWaishatishwa
Bishana na wavaa tight wenzako.Mimi napenda ligi na wajinga ili kuwafundisha. Huwezi andika pumba nikakuvumilia, I will pursue you perpendicularly
Media uchwara za Bongo..
Hawa wanauza madawa ya kulevya unadhani watajificha wapi?Ukiona mtu hana ujasiri ujue kuna madudu yake yanajulikana hivyo anabakia kujipendekeza tu. Gerard Hando unaweza kwenda Mahakamani kudai fidia ya adhabu utakayopewa maana ni kinyume na Katiba yetu
Ndo maana Mungu hapendi kiburi...Kwahiyo mkuu kwa mfano ingekuwa kipindi cha Magufuli halafu Hando akatoa mawazo kama hayo ingekuaje?
Siyo thinking iliyo sababisha msuaji ya rwanda bali ni vitendo kama hivi vinavyo fanya na wahuni wa chama cha mambuziUmeandika kuonesha ni namna gani ulivyo mdini na hujiamini. Kama taifa tuna hasara kubwa sana kuwa na watu wa aina yako sababu huwezi tazama mambo katika mtazamo chanya na usioegemea popote zaidi ya kutafuta mchawi ni nani. Thinking kama yako ndio ilisababisha Mauaji ya Kimbari kule Rwanda. Wise Up!
Hivi Dicteta akiwa na jinsia ya KE anatwaje vile!!!Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.
Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.
View attachment 2464611