EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

Ilo naweza kukubaliana na wewe sasa wakati wao wanaficha makandokando yao alafu anatokea mtu anataka kuwaharibia si inabidi kumshughulikia

Unamshughulikia mtu ambaye hajafanya kosa!
 
Huu ujinga wa kutaka kuyaficha makosa ya mama yenu kwa JPM, huku yale mazuri mkiplmpa mama yenu mwenyewe, si ujui unatoka wapi?

Kwenye utawala wa SSH tena yeye mwenyewe akiwa rais (karibia miaka miwili), unawezaje kuzitupa hizo lawama kwa JPM?

Kizuri kinafanywa cha SAMIA ila kibaya cha awamu hii kinageuzwa kuwa JPM?
Wimbo wa ccm ni ileile unahalalisha madhambi ya viongozi wawapo madarakani,ni kejeli dhidi ya uhuru na hatujasahau magufuli alivyokereka na ukosoaji kama ambavyo ssh anavyoendeleza.
 
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.

Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Nape alisema kwa Sasa watadeal na mhadishi binafsi na sio tasisi kwa kauli hii usitegemee kuwepo kwa uhuru wa habari maana wote watalizimika kuandika kinachopendezwa na mamlaka matokeo yake ndo haya
 
Ni kweli siyo kila mwenye PhD au Masters anaweza kuongea eneo lolote bali eneo husika na fani yake. Kama huna shahada ya uchumi au fedha yeyote huwezi kuongea kwa uafasaha hoja za uchumi.

Nyie ambao hamjasoma ndiyo kabisa mnatupotezea muda bure kwa kuendelea kubishana badala ya kujifunza.

Bunge lilipitisha Bajeti ya Tsh 42 Trllioni yenye nakisi dhidi ya mapato ya Tsh 19 Trillion, je Gerald Hando anadhani nakisi itazibwa na nini?

Miradi mikubwa ya SGR, JNHEPP, Busisi na Makao Makuu Dodoma ndiyo vinakula sehemu kubwa ya mikopo
Labdo Hando anataka Sa100 atoe hela yake ya mfukoni kujenga SGR, JNHEP, etc,
Ujue hii issue iko ki political zaidi, wanaomsupport Hando wako kisiasa zaidi
 
hata ingekua mimi ndio majizzo ningefanya hivyo hivyo,hata nisipomfukuza kweli kazi hando ila ningetengeneza drama nionekane sipo upande wa hando.

kama zamani unamwambia mtoto,Tema mate hapa tumchapeee..

Hii nchi tunaenda kinafki nafki tu mambo yetu yaende.
 
Na wewe ni walewale tu "a functional illiterate" na degree yako uchwara. You can not think out of the books you were forced to read in school! Shame.
Nimekuja kwa hoja ya bajeti, makusanyo, nakisi na miradi mikubwa hujanijibu. Ila kwa kuwa Gushleviv ni mtoto wa malaya unachojua ni kuandika matusi tu uliyozoea kusikia kutoka kwa mama yako. Kama ungekuwa na baba usingeandika namna hiyo hapo juu Bali ungekuja kwa hoja
 
Umeandika kuonesha ni namna gani ulivyo mdini na hujiamini. Kama taifa tuna hasara kubwa sana kuwa na watu wa aina yako sababu huwezi tazama mambo katika mtazamo chanya na usioegemea popote zaidi ya kutafuta mchawi ni nani. Thinking kama yako ndio ilisababisha Mauaji ya Kimbari kule Rwanda. Wise Up!
Siyo thinking iliyo sababisha msuaji ya rwanda bali ni vitendo kama hivi vinavyo fanya na wahuni wa chama cha mambuzi
 
Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema.

Kwani Hando kuna sehemu kadanganya? Si kweli tunakopa? Kama hakuna ubaya kukopa kwanini Majizzo anaomba msamaha? Kama taifa tuna safari ndefu sana.

View attachment 2464611
Hivi Dicteta akiwa na jinsia ya KE anatwaje vile!!!
 
Majizo amemuombea msamaha Hando. Nahc Hando ameamua kuwa JIWE gumu.

Ya Ndugai yasijirudie tena.
 
Back
Top Bottom