Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kuna Ile mna connect kwa wi-fi au Bluetooth, nime kunywa soda za watu Sana🤣😂Hataree mkuu 🙌🏿 ulikuwa wa motoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Ile mna connect kwa wi-fi au Bluetooth, nime kunywa soda za watu Sana🤣😂Hataree mkuu 🙌🏿 ulikuwa wa motoo
Mimi kuacha games labda niwe kilema wa mikono🤣😂😂😂😂Ndo kazi zao
Hata 2017, 18 ni makali. Sema 16 was a really thing.Dls 16😂🙌🏿
Mfano nilipo Anza PC games nili penda cross game, ila Sasa hivi tiktaka ndio mfumo wangu.Hiyo kweli huwa nakutana na vikosi vya maana ila Wana butuabutua tu kucheza hajui
Unyama sana, utanipa code sikuBeckenbauer mnyana sana na Belletti mfukuza upepo😃View attachment 3237265
Poa poaUnyama sana, utanipa code siku
Kwa Sasa halaand kwenye ps au PC game ni 🔥 🔥.Sijutii kujua games
ana mashuti huyo, niko nacheza league team ni city 1 st ni halaand, sub jota.Halaand ps namchukia akidhika mipira tu goal🔥
Duh kufika huku nadhani ni baada ya mwakaMbona vidogo cheki hiki ni Cha mshkaji View attachment 3237254
Kaka watu wana balaaMa jobless pro max ni watu wa kuwaogopa Sana 😂 😂.
Edo kissy Series nili kuambia njoo pmHataree mkuu 🙌🏿 ulikuwa wa motoo