eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

IMG-20250217-WA0002.jpg

Japo kwa mbinde sana ila hatimae usajili wangu wa kwanza umekamilika, simu nayotumia inazingua sana aisee.
IMG-20250217-WA0003.jpg

Nianze kutafuta coins kwaajili ya usajili wa wachezaji sasa.
 
Aah zilikuja friend request mbili ile moja nikajua ndo yako kumbe ya mkuu NEGAN 😃😃😃kikosi chake mabek wana boosters mpk unawaza utapita wap...

Kwa kikosi chako japo kipo vzr ila tunaweza chezaView attachment 3238987
Kikosi changu cha kawaida mkuu kuna watu wana vikosi balaa ona kama huyu 😃✋️✋
these-are-crazy-stats-for-a-cb-v0-5m0pgojganje1.jpeg

Division 1 pa moto sana siku hizi naishia division 2 tu. Watu wana vikosi vya 3200+ strength 😃
 
Aah zilikuja friend request mbili ile moja nikajua ndo yako kumbe ya mkuu NEGAN 😃😃😃kikosi chake mabek wana boosters mpk unawaza utapita wap...

Kwa kikosi chako japo kipo vzr ila tunaweza chezaView attachment 3238987
Ushauri wangu kwenye kikosi chako

Nunua mbappe standard card kwa GP awe CF wako huyo Kvara sio CF lakini pia nunua Tchouameni au Rodri wawe CDM wako wote ni anchorman. Huyo Caicedo ni box to box hafai kuwa CDM
 
Mkuu umenipa hoja kubwa sana kuhusu Caicedo...

Huwa nachez ile league ya kawaida nipo nakomaa na top player kwanza maana ndo mara yangu ya kwanza kulicheza nizoe zoe kwanza kabla sijaenda live

Nilicheza kwa professional nikachukua league nimekuja kuanza na top player nikamaliza league wa tano shida kubwa ilikuwa nikija kushambuliwa ni kufungwa tuu ikabid nishift kwenda mabek watano ndo kidogo imekuwa ahuen nimecheza mechi 7 nikashinda zote nikaona shida namba sita alikuwa ni Kama Attacking midfielder
Hii akili ya Rodri umenipa ngoja nikamnunue na pep guardiola nilipe tu hiyo afu mbili yao kwa tigo pesa

Mbappe watanipa kesho nitakuwa naye japo huwa napenda striker mrefu ndo maana nikamnunua haaland
Screenshot_20250217-112455.png
 
Mkuu umenipa hoja kubwa sana kuhusu Caicedo...

Huwa nachez ile league ya kawaida nipo nakomaa na top player kwanza maana ndo mara yangu ya kwanza kulicheza nizoe zoe kwanza kabla sijaenda live

Nilicheza kwa professional nikachukua league nimekuja kuanza na top player nikamaliza league wa tano shida kubwa ilikuwa nikija kushambuliwa ni kufungwa tuu ikabid nishift kwenda mabek watano ndo kidogo imekuwa ahuen nimecheza mechi 7 nikashinda zote nikaona shida namba sita alikuwa ni Kama Attacking midfielder
Hii akili ya Rodri umenipa ngoja nikamnunue na pep guardiola nilipe tu hiyo afu mbili yao kwa tigo pesa

Mbappe watanipa kesho nitakuwa naye japo huwa napenda striker mrefu ndo maana nikamnunua haalandView attachment 3239008
Yeah namba 6 ukiwa huna kiungo kinakua wazi sababu ukimchezesha box box kama no 6 anazurura uwanja mzima😃. Lakini ukitumia anchor man kama no 6 yeye anabaki nyuma mbele ya mabeki anakua anazima mashambulizi.

Guardiola umelamba dume ni Orchestrator anacheza kama Modric anapiga pass Vizuri na kukupa option za kufanya build up. Combination ya Anchorman na Orchestrator kwenye midfield weka mbali na watoto.
 
Yeah namba 6 ukiwa huna kiungo kinakua wazi sababu ukimchezesha box box kama no 6 anazurura uwanja mzima😃. Lakini ukitumia anchor man kama no 6 yeye anabaki nyuma mbele ya mabeki anakua anazima mashambulizi.

Guardiola umelamba dume ni Orchestrator anacheza kama Modric analiga pass Vizuri na kukupa option za kufanya build up. Combination ya Anchorman na Orchestrator kwenye midfield weka mbali na watoto.
Sijamnunua bado nataka nitengeneze master card tigo kwanza nilipie
 
Yeah namba 6 ukiwa huna kiungo kinakua wazi sababu ukimchezesha box box kama no 6 anazurura uwanja mzima😃. Lakini ukitumia anchor man kama no 6 yeye anabaki nyuma mbele ya mabeki anakua anazima mashambulizi.

Guardiola umelamba dume ni Orchestrator anacheza kama Modric analiga pass Vizuri na kukupa option za kufanya build up. Combination ya Anchorman na Orchestrator kwenye midfield weka mbali na watoto.
Nishamchukua Rodri
 
Ushauri wangu kwenye kikosi chako

Nunua mbappe standard card kwa GP awe CF wako huyo Kvara sio CF lakini pia nunua Tchouameni au Rodri wawe CDM wako wote ni anchorman. Huyo Caicedo ni box to box hafai kuwa CDM
Ushauri wa ziada atumie autopick playars hii inasaidia kupanga kikosi kulingana na formation pamoja na playstyle unayotumia.
 
Back
Top Bottom