Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kuna Ile mna connect kwa wi-fi au Bluetooth, nime kunywa soda za watu Sanaπ€£πHataree mkuu ππΏ ulikuwa wa motoo
Mimi kuacha games labda niwe kilema wa mikonoπ€£ππππNdo kazi zao
Hata 2017, 18 ni makali. Sema 16 was a really thing.Dls 16πππΏ
Mfano nilipo Anza PC games nili penda cross game, ila Sasa hivi tiktaka ndio mfumo wangu.Hiyo kweli huwa nakutana na vikosi vya maana ila Wana butuabutua tu kucheza hajui
Unyama sana, utanipa code sikuBeckenbauer mnyana sana na Belletti mfukuza upepoπView attachment 3237265
Poa poaUnyama sana, utanipa code siku
Kwa Sasa halaand kwenye ps au PC game ni π₯ π₯.Sijutii kujua games
ana mashuti huyo, niko nacheza league team ni city 1 st ni halaand, sub jota.Halaand ps namchukia akidhika mipira tu goalπ₯
Duh kufika huku nadhani ni baada ya mwakaMbona vidogo cheki hiki ni Cha mshkaji View attachment 3237254
Kaka watu wana balaaMa jobless pro max ni watu wa kuwaogopa Sana π π.
Edo kissy Series nili kuambia njoo pmHataree mkuu ππΏ ulikuwa wa motoo