Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kucheza possession nakushauri tafuta kocha possession au quick counter unajua sana kupiga pass na kupanga mashambulizi bila kubutua. Salute kwakoUmenipangia watu hawana boosters kaka😃na bado nasumbuka kila kitu kupiga pasi, kukaba yan muda wote roho ipl juu tuu😂View attachment 3239483
Wachezaji wangu wana one touch pass hamna cha ajabu chochote😀I
Ivi kuna watu mnachezea padi mbona mnafanya kila kitu perfect pasi inaenda inafika mtu anatuliza mali vizuri tuambiane ukwel😂😂😂maan mchezo wangu nasikitisha nacheza kama pamba jiji
Sawaa mkuu shukran sana kwa ushauri ngoja nitafute coins nitafute kocha kama Razorblade na Mourinho wake😃Unajua kucheza possession nakushauri tafuta kocha possession au quick counter unajua sana kupiga pass na kupanga mashambulizi bila kubutua. Salute kwako
Hizi skills nimeenda pale kuweka naambiwa ni random tena wanakuchagulia wao😃😃Wachezaji wangu wana one touch pass hamna cha ajabu chochote😀
Fanya legacy transfer ili usiharibu cardHizi skills nimeenda pale kuweka naambiwa ni random tena wanakuchagulia wao😃😃
Fanya legacy transfer ili usiharibu card
Nenda kwenye kununua wachezaji filter "0 gp" player sajili wengi utakavyo utakua unawachapa skills random kila mchezaji skill moja.
Siku ukipata useful skill unafanya legacy transfer.
View: https://youtu.be/8yTuOdWESaU?si=bNR6VqzuYjXJ1DwS
😂 tafuta coins tu mkuu kiwashe sana kwenye events, nimetumia kama siku 7 hivi kukamilisha 500 coins.Sawaa mkuu shukran sana kwa ushauri ngoja nitafute coins nitafute kocha kama Razorblade na Mourinho wake😃
Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi 😃😃😂 tafuta coins tu mkuu kiwashe sana kwenye events, nimetumia kama siku 7 hivi kukamilisha 500 coins.
View attachment 3240021
View attachment 3240023
Kutokana na maelezo ya NEGAN kwa namna unavyocheza pambana umchukue huyu jamaa bado pack yake ina siku 43.
Formation nzuri za quick counter za ushindani ni 4222 ya double povot na 2 Attacking midfielder au 4222 ya 2 right na left MF.Kwa mara ya kwanza kwenye historia yangu ya magemu nimetoa hela kununua mchezaji...
Guardiola nishampata NEGAN formation ipi nzuri kwa Quick counter ambayo inatumiaa double pivot
View attachment 3240269
Usirogwe uka spin kwenye epic huwezi pata unapoteza coin bure tu😃Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi 😃😃
Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,😃
Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
😂😂Hii tabia tunayo wengi, sema Kuna mda unabahatisha ila siji kufanya tenaNapenda Quick Counter Possession siwezi Mimi 😃😃
Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,😃
Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
Kama ni QC fanya umuwahi Frank Lampard kabakiza siku 8 tu.Napenda Quick Counter Possession siwezi Mimi 😃😃
Event nimemaliza zote na nilitumia coins 100 kumnunua Kravishella na mia kujaribu kumpata Chelline kwenye epic,😃
Saiv najutia coin za kwenye epic ningekuwa na 300 muda huu
Halafu kuna hizi pia
View attachment 3240325View attachment 3240327
Kwa ufupi formation strong kwenye game ni za kushambulia kati kati 4222 long ball counter au 4222 quick counter au 4312. Formation za mawinga sio nzuri tunachezea kujifurahisha tu lakini kushinda ni kazi na wing play.
Niliona nyuma uliandika uliibiwa account itakua ulikua unatafuta free coin😀Kwa sasa natumia 4-2-3-1, naweza kubaliana na wewe ila kwa upande wangu nitajitahidi niwe pro kwenye huu mfumo na playstyle zake LBC a OW.
Nimejalibu kucheza na Attacking Midfielder nilikuwa natumia ile ya 4321 nimekutana na mtu sikupitisha hata pasi moja ikanibid niwatanue tu AMF wangu walud kuwa mawingerFormation nzuri za quick counter za ushindani ni 4222 ya double povot na 2 Attacking midfielder au 4222 ya 2 right na left MF.View attachment 3240319
4312 pia ni nzuri
View attachment 3240322
Halafu kuna hizi pia
View attachment 3240325View attachment 3240327
Kwa ufupi formation strong kwenye game ni za kushambulia kati kati 4222 long ball counter au 4222 quick counter au 4312. Formation za mawinga sio nzuri tunachezea kujifurahisha tu lakini kushinda ni kazi na wing play.