Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Nilispine ya kwanza wakati sielewi kitu nikampata Kravishella mwenye booster moja😃😃 nikaona mbona nina nyota nikaludia tena epic ya akina Chelline nikaletewa mchezaji wa ligi ya wap sijui ana overall 78 nikasema siludiiUsirogwe uka spin kwenye epic huwezi pata unapoteza coin bure tu😃